Utangulizi:
Mkoa wa Simiyu unaendelea kusimamia Elimu ya Awali, Msingi, Sekondari, Ufundi na Elimu ya Watu Wazima kwa mujibu wa miongozo ya Nchi. Mkoa una jumla ya Shule za Msingi 631 ambapo shule za serikali ni 606 na zisizo za serikali ni 25. Aidha, Mkoa una Shule 197 za Sekondari ambapo, 183 ni za Serikali na 14 za mashirika ya dini na watu binafsi. Mkoa una Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi 02, Vyuo vya Ufundi 04 na Vyuo Vikuu 02. Jumla ya wanafunzi katika Shule za Msingi za serikali ni 545,090 na idadi ya wanafunzi katika Shule za Sekondari za Serikali ni 93,387.
Jedwali Na. 9: Taasisi za Kielimu katika Mkoa wa Simiyu
Halmashauri |
Shule za Awali & Msingi |
Shule za Sekondari |
Vyuo Vya Maendeleo ya Wananchi |
Vyuo vya Ufundi |
Vyuo vya Ualimu |
Vyuo Vikuu |
||||||
Serikali |
Binafsi |
Serikali |
Binafsi |
Serikali |
Binafsi |
Serikali |
Binafsi |
Serikali |
Binafsi |
Serikali |
Binafsi |
|
Bariadi DC
|
101 |
5 |
29 |
1 |
0 |
0 |
1 |
0 |
0 |
0 |
1 |
0 |
Bariadi TC
|
47 |
8 |
18 |
2 |
1 |
0 |
1 |
0 |
0 |
0 |
1 |
0 |
Busega DC
|
91 |
8 |
25 |
5 |
0 |
0 |
0 |
0 |
0 |
0 |
0 |
0 |
Itilima DC
|
107 |
0 |
33 |
1 |
0 |
0 |
1 |
0 |
0 |
0 |
0 |
0 |
Maswa DC
|
135 |
3 |
44 |
4 |
1 |
0 |
1 |
0 |
0 |
0 |
0 |
0 |
Meatu DC
|
125 |
1 |
34 |
1 |
0 |
0 |
0 |
0 |
0 |
0 |
0 |
0 |
Jumla Ndogo |
606 |
25 |
183
|
14 |
2 |
0 |
4 |
0 |
0 |
0 |
2 |
0 |
JUMLA KUU |
631 |
197 |
2 |
4 |
0 |
2 |
2.2 Elimu ya Msingi na Sekondari
Idadi ya wanafunzi katika Shule za Msingi na Sekondari imekuwa ikiongezeka kila mwaka ambapo Mkoa una jumla ya wanafunzi 545,090 wa Shule za Msingi za serikali mwaka 2024, ikilinganishwa na wanafunzi 504,987 mwaka 2021. Hili ni ongezeko la wanafunzi 40,103 sawa na 7.3%. Jumla ya wanafunzi wa Shule za Sekondari za Serikali ni 93,387 mwaka 2024, ikilinganishwa na wanafunzi 69,601 mwaka 2021. Idadi hii ni ongezeko la wanafunzi 23,786 sawa na 25.4%.
Walimu wa Shule za Msingi
Mkoa una jumla ya walimu 6,422 kati ya 12,113 wanaohitajika kwa Shule za Awali na Msingi za Serikali. Upungufu ukiwa ni walimu 5,691 sawa na asilimia 46.9 kama mchanganuo unavyoonekana kwenye jedwali Na.10 hapa chini;-
Jedwali Na. 11: Takwimu za Walimu wa Shule za Awali na Msingi (Aprili, 2025)
Na |
Halmashauri |
Mahitaji
|
Waliopo
|
Upungufu
|
% Ya Upungufu |
1 |
BARIADI TC
|
1,272 |
742 |
530 |
41.6 |
2 |
BARIADI DC
|
2,496 |
1,193 |
1,303 |
52.2 |
3 |
BUSEGA
|
1,733 |
1,047 |
686 |
39.5 |
4 |
ITILIMA
|
2,508 |
1,176 |
1,332 |
53.1 |
5 |
MASWA
|
2,335 |
1,202 |
1,133 |
48.5 |
6 |
MEATU
|
1,769 |
1,062 |
707 |
39.9 |
JUMLA
|
12,113 |
6,422 |
5,691 |
46.9 |
Idadi ya Walimu wa Shule za Sekondari
Mkoa una jumla ya walimu 1,205 wa Sayansi na Hisabati, kati ya walimu 1,940 wa masomo hayo wanaohitajika kwa Shule za Sekondari za Serikali na hivyo kuwepo na upungufu wa walimu 735 sawa na 37.8%. Kwa upande wa masomo ya Sanaa Mkoa una jumla ya walimu 1,352 kati ya walimu 2,245 wanaohitajika na hivyo kuwepo na upungufu wa walimu 893.Upungufu huu ni 39.7%. Jedwali Na.12 linaonesha takwimu kwa kila Halmashauri.
Jedwali Na. 12: Takwimu za Wanafunzi na Walimu Ki-halmashauri (Sekondari)
H/shauri |
Idadi ya Wanafunzi |
Idadi ya Walimu (Aprili 2025) |
|||||||||
2022 |
2023 |
2024 |
2025 |
Walimu wa Sayansi & Hisabati |
Walimu wa Sanaa |
||||||
Mahitaji |
waliopo |
Upungufu |
Mahitaji |
Waliopo |
Upungufu |
Ziada |
|||||
Bariadi TC
|
9,633 |
9,633 |
12,919
|
11,410
|
221 |
101 |
120 |
261 |
175 |
86 |
0 |
Bariadi DC
|
10,513 |
10,509 |
14,640
|
14,571
|
296 |
159 |
137 |
441 |
166 |
275 |
0 |
Busega
|
13,922 |
14,872 |
21,735
|
19,086
|
310 |
199 |
111 |
351 |
258 |
93 |
0 |
Itilima
|
10,294 |
10,864 |
12,778
|
13,946
|
314 |
251 |
63 |
350 |
257 |
93 |
0 |
Maswa
|
15,781 |
16,480 |
21,249
|
19,719
|
503 |
303 |
200 |
559 |
297 |
262 |
0 |
Meatu
|
9,458 |
9,848 |
12,489
|
12,630
|
296 |
192 |
104 |
283 |
199 |
84 |
0 |
JUMLA
|
69,601 |
74,228 |
95,810
|
93,387
|
1,940 |
1,205 |
735 |
2,245 |
1,352 |
893 |
0 |
Katika kuboresha mazingira ya kufundishia na kujifunzia Serikali imeendelea kuajiri walimu wapya. Mkoa wa Simiyu umepangiwa jumla ya walimu wa ajira mpya 471 mwaka 2025 wakiwemo 250 wa Shule za Msingi na 221 wa Shule za Sekondari na hivyo kuendelea kupunguza changamoto ya upungufu wa walimu katika Shule za Msingi na Sekondari katika Mkoa. Mgawanyo Ki-halmashauri unaonekana kwenye jedwali Na. 13 hapa chini.
Jedwali Na.13: Takwimu za Uripoti wa Walimu wa Ajira Mpya Aprili, 2025
H/SHAURI |
SHULE ZA MSINGI |
SHULE ZA SEKONDARI |
||||||||||||||||
WALIOPANGWA |
WALIORIPOTI |
WASIORIPOTI |
WALIOPANGWA |
WALIORIPOTI |
WASIORIPOTI |
|||||||||||||
ME |
KE |
JML |
ME |
KE |
JML |
ME |
KE |
JML |
ME |
KE |
JML |
ME |
KE |
JML |
ME |
KE |
JML |
|
Bariadi TC
|
31 |
5 |
36 |
31 |
5 |
36 |
0 |
0 |
0 |
21 |
9 |
30 |
21 |
9 |
30 |
0 |
0 |
0 |
Bariadi DC
|
31 |
24 |
55 |
31 |
24 |
55 |
0 |
0 |
0 |
14 |
7 |
21 |
14 |
7 |
21 |
0 |
0 |
0 |
Busega
|
10 |
24 |
34 |
10 |
23 |
33 |
0 |
1 |
1 |
39 |
10 |
49 |
39 |
9 |
48 |
0 |
1 |
1 |
Itilima
|
18 |
15 |
33 |
18 |
15 |
33 |
0 |
0 |
0 |
32 |
19 |
51 |
28 |
19 |
47 |
4 |
0 |
4 |
Maswa
|
42 |
9 |
51 |
42 |
9 |
51 |
0 |
0 |
0 |
24 |
16 |
40 |
24 |
16 |
40 |
0 |
0 |
0 |
Meatu
|
15 |
26 |
41 |
15 |
25 |
40 |
0 |
1 |
1 |
11 |
19 |
30 |
11 |
18 |
29 |
0 |
1 |
1 |
Jumla |
147 |
103 |
250 |
147 |
101 |
248 |
0 |
2 |
2 |
141 |
80 |
221 |
137 |
78 |
215 |
4 |
2 |
6 |
Hali ya Upatikanaji wa miundombinu kwa Shule za Msingi na Sekondari
Mkoa una vyumba vya madarasa 5,825, nyumba za walimu 2,151, vyoo matundu 7,072 na madawati 122,425.
Hali ya uandikishwaji wa Darasa la Kwanza:
Mkoa umekamilisha zoezi la uandikishaji wa Wanafunzi wa Elimu ya Awali na Darasa la Kwanza mwaka 2025 ambalo limekamilika rasmi nchi nzima tarehe 31 Machi, 2025. Takwimu za maoteo/ malengo ya uandikishaji huu zilitolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kutokana na Sensa ya Watu na Makazi iliyofanyika nchini mwaka 2022.
2.5.1 Uandikishaji wa Wanafunzi wa Elimu ya Awali mwaka 2025
Kwa mwaka 2025, Mkoa umeandikisha wanafunzi wa Elimu ya Awali 67,155 wakiwemo wavulana 31,537 na wasichana 35,618 sawa na asilimia 99.7 ya malengo ya kuandikisha wanafunzi 67,341. Uandikishaji huu umepanda kwa asilimia 17.7 ikilinganishwa na mwaka 2024 ambapo ulikuwa ni asilimia 82. Hali halisi ya uandikishaji kwa kila Halmashauri imeoneshwa katika jedwali Na. 17
Jedwali Na.17: Uandikishaji wa Wanafunzi wa Elimu ya Awali 2025
NA |
MKOA |
HALMASHAURI |
MAOTEO |
WALIOANDIKISHWA |
ASILIMIA YA UANDIKISHAJI |
||||||
WV
|
WS
|
JML
|
WV |
WS |
JML |
WV |
WS |
JML |
|||
1 |
SIMIYU
|
BARIADI TC
|
4,138 |
4,279 |
8,417 |
4,311 |
4,154 |
8,465 |
104.18 |
97.08 |
100.57 |
2 |
SIMIYU
|
BARIADI DC
|
6,875 |
7,425 |
14,300 |
7,087 |
7,303 |
14,390 |
103.08 |
98.36 |
100.63 |
3 |
SIMIYU
|
BUSEGA DC
|
4,172 |
4,313 |
8,485 |
4,296 |
4,218 |
8,514 |
103 |
98.00 |
100.5 |
4 |
SIMIYU
|
ITILIMA DC
|
6,552 |
7,160 |
13,712 |
5,565 |
9,247 |
14,812 |
84.94 |
129.15 |
108.02 |
5 |
SIMIYU
|
MASWA DC
|
6,246 |
7,007 |
13,253 |
5,456 |
5,919 |
11,375 |
87.35 |
84.47 |
85.83 |
6 |
SIMIYU
|
MEATU DC
|
4,298 |
4,876 |
9,174 |
4,822 |
4,777 |
9,599 |
112.19 |
97.97 |
104.63 |
JUMLA KUU |
32,281 |
35,060 |
67,341 |
31,537 |
35,618 |
67,155 |
92.00 |
96.31 |
99.72 |
Uandikishaji wa Wanafunzi wa Darasa la Kwanza 2025
Mwaka 2025, Mkoa umeandikisha wanafunzi wa Darasa la Kwanza 76,785 wakiwemo wavulana 37,956 na wasichana 38,829 sawa na asilimia 104.8 ya malengo ya kuandikisha wanafunzi 73,302. Aidha, asilimia ya uandikishaji huu ni sawa na mwaka 2024 ambapo Mkoa umevuka lengo la uandikishaji. Hali halisi ya uandikishaji kwa kila Halmashauri imeoneshwa katika jedwali Na. 18
Jedwali Na.18: Uandikishaji wa Wanafunzi wa Darasa la Kwanza 2025
NA
|
MKOA
|
HALMASHAURI
|
MAOTEO |
WALIOANDIKISHWA |
ASILIMIA YA UANDIKISHAJI |
|||||||
WAV
|
WAS
|
JML
|
WAV
|
WAS
|
JML
|
WAV
|
WAS
|
JML
|
|
|||
1 |
SIMIYU
|
BARIADI TC
|
4,002
|
4,237
|
8,239
|
4,028
|
4,229
|
8,257
|
100.65 |
99.81 |
100.22 |
|
2 |
SIMIYU
|
BARIADI DC
|
7,852
|
8,348
|
16,200
|
8,806
|
8,647
|
17,453
|
112 |
104 |
108 |
|
3 |
SIMIYU
|
BUSEGA DC
|
4,443
|
4,578
|
9,021
|
5,100
|
4,922
|
10022
|
114.79 |
107.51 |
111.1 |
|
4 |
SIMIYU
|
ITILIMA DC
|
7,024
|
7,645
|
14,682
|
8,104
|
8,258
|
16,362
|
115 |
108 |
111.44 |
|
5 |
SIMIYU
|
MASWA DC
|
6,618
|
7,103
|
13,721
|
6,442
|
6,775
|
13,217
|
97.34 |
95.38 |
96.33 |
|
6 |
SIMIYU
|
MEATU DC
|
5,457
|
5,982
|
11,439
|
5,476
|
5,998
|
11,474
|
100.35 |
100.27 |
100.31 |
|
JUMLA KUU |
35,396
|
37,893
|
73,302
|
37,956
|
38,829
|
76,785
|
101.8
|
98.0
|
104.8
|
|
Hali ya uripoti wa Wanafunzi wa Kidato cha Kwanza 2025
Kwa Mwaka 2024 Mkoa wa Simiyu ulifaulisha jumla ya wanafunzi 29,012 wakiwemo wavulana 12,505 na wasichana 16,507 kati ya wanafunzi 38,171 waliofanya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) ambapo wanafunzi wote waliofaulu wamechaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza katika shule mbalimbali za Sekondari za bweni na kutwa. Jumla ya wanafunzi 28,190 wakiwemo wavulana 12,125 na wasichana 16,065 wameripoti na kuanza masomo. Hii ni sawa na asilimia 97.2 ya lengo la uripoti wa wanafunzi 29,012 waliochaguliwa kujiunga Kidato cha Kwanza mwaka 2025. Hali ya uripoti wa wanafunzi wa Kidato cha Kwanza ni kama inavyoonekana katika jedwali namba 19.
Jedwali Na. 19: Hali ya uripoti wa wanafunzi wa Kidato cha Kwanza 2025
NA.
|
HALMASHAURI |
WALIOCHAGULIWA |
WALIORIPOTI |
ASILIMIA YA WALIORIPOTI |
||||||
WAV |
WAS |
JML |
WAV |
WAS |
JML |
WAV |
WAS |
JML |
||
1 |
BARIADI TC
|
1,427 |
1,945 |
3,372 |
1,357 |
1,885 |
3,242 |
95 |
97 |
96.1 |
2 |
BARIADI DC
|
2,021 |
2,930 |
4,951 |
1,935 |
2,801 |
4,736 |
96 |
96 |
95.7 |
3 |
BUSEGA DC
|
2,490 |
2,915 |
5,405 |
2,316 |
2,764 |
5,080 |
93 |
95 |
94 |
4 |
ITILIMA DC
|
2,037 |
2,741 |
4,778 |
1,989 |
2,641 |
4,630 |
98 |
96 |
96.9 |
5 |
MASWA DC
|
2,538 |
3,284 |
5,822 |
2,538 |
3,284 |
5,822 |
100 |
100 |
100 |
6 |
MEATU DC
|
1,992 |
2,692 |
4,684 |
1,990 |
2,690 |
4,680 |
99.9 |
99.9 |
99.9 |
JUMLA KUU
|
12,505 |
16,507 |
29,012 |
12,125 |
16,065 |
28,190 |
97 |
97 |
97.2 |
Utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika Sektay a Elimu;
Mkoa umeendelea na usimamizi wa ujenzi wa miundombinu ya Elimu katika Shule za Msingi na Sekondari kupitia programu mbalimbali za serikali zikiwemo UVIKO 19, BOOST, GPE – LANES, SWASH, SEQUIP, Serikali Kuu, EPforR, Barrick Tanzania, TEA na Mapato ya Ndani ya Halmashauri. Katika kipindi cha mwaka 2021/2022 hadi 2024/2025 jumla ya Tshs. 69,631,113,189.99 zilipokelewa na kutumika kwa ajili ya ujenzi na ukamilishaji wa miundombinu mbalimbali ya elimu. Kati ya fedha hizi Tshs. 19,310,316,796.89 ni kwa ajili ya Shule za Msingi na Tshs. 50,320,796,393.10 ni kwa Shule za Sekondari na Chuo cha Ufundi Stadi (VETA).
Miradi katika Shule za Msingi;
Kuanzia mwaka wa fedha 2021/2022 hadi 2024/2025 Mkoa umepokea jumla ya Tshs 19,310,316,796.89 kwa ajili ya ujenzi wa Shule mpya 16, madarasa ya msingi na awali 300, madarasa ya shule shikizi 69, matundu ya vyoo 1049, nyumba za walimu 19, uzio 02, mabweni 04. Miradi hii imetekelezwa kupitia programu mbalimbali zikiwemo UVIKO 19, BOOST, Serikali Kuu, GPE – LANES, SWASH, EPforR na Mapato ya Ndani. Utekelezaji kwa kila mradi ni kama inavyoonekana katika jedwali Na.20;-
Jedwali Na.20: Miradi ya Elimu inayotekelezwa katika Shule za Msingi
Na |
Jina la Mradi |
Fedha iliyopokelewa |
Miundombinu inayojengwa/ Kamilishwa |
Hatua ya Ujenzi |
% ya Utekelezaji |
1
|
UVIKO 19
|
1,460,000,000.00 |
Madarasa (Shule shikizi) 69
Bweni (Mahitaji maalum) 01 |
Ujenzi wa miundombinu yote umekamilika
|
100 |
2 |
BOOST I
|
9,316,600,000.00 |
Shule mpya 13
Madarasa ya Msingi 94 Madarasa ya Awali 12 Nyumba ya mwalimu 01 Matundu ya Vyoo 93 |
Ujenzi wa miundombinu yote umekamilika
|
100 |
3 |
BOOST II
|
2,361,100,000.00 |
i. Vyumba 79 vya madarasa
ii. Mtundu 150 ya vyoo |
Ujenzi wa miundombinu yote umekamilika
|
100 |
3 |
Serikali Kuu
|
3,658,000,000.00 |
Shule mpya 01
|
Shule mpya imekamilika
|
100
|
Madarasa ya Msingi 92
|
Madarasa yamekamilika
|
100
|
|||
Matundu ya vyoo 267
|
Miradi imekamilika
|
100
|
|||
Nyumba za walimu 17
|
Miradi imekamilika
|
100
|
|||
Bweni 01 na Uzio 02
|
Bweni na uzio vimekamilika
|
100
|
|||
4 |
GPE - LANES
|
513,296,000.00 |
Bweni 02
Madarasa ya Awali 08 Ukarabati wa Vituo vya Walimu (TRCs) 10 |
Ujenzi umekamilika
|
100
|
5 |
SWASH
|
998,139,020.89 |
Matundu ya vyoo 345
|
Miradi imekamilika
|
100
|
6 |
EPforR
|
713,000,000.00 |
Shule mpya 02
|
Shule zimekamilika
|
100 |
Madarasa ya Msingi 06
Matundu ya vyoo 30 |
Miradi imekamilika
|
100 |
|||
7 |
Mapato ya Ndani
|
290,181,776.00 |
Ukarabati Madarasa ya Msingi 09
Matundu ya vyoo 164 Ukarabati nyumba ya mwalimu 01 |
Miradi yote imekamilika
|
100 |
Jumla Kuu |
19,310,316,796.89 |
|
|
|
Miradi katika Shule za Seokndari;
Mkoa umeendelea kutekeleza ujenzi wa miundombinu ya Elimu ya Sekondari kupitia programu mbalimbali zikiwemo; UVIKO 19, Mpango wa Kuboresha Elimu ya Sekondari (SEQUIP) Serikali Kuu, Mpango wa Lipa Kulingana na Matokeo (EPforR), BARRICK Tanzania, Mapato ya Ndani ya Halmashauri na Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA). Kuanzia kipindi cha mwaka 2021/2022 hadi 2024/2025 Mkoa umepokea jumla ya Tshs. 50,320,796,393.10 kwa ajili ya ujenzi wa Shule mpya 27 za Sekondari, vyumba vya madarasa 662, matundu ya vyoo 171, nyumba 21, maabara 19, mabweni 12 na mabwalo 02. Utekelezaji kwa kila mradi ni kama inavyoonekana katika jedwali Na.21 hapa chini;-
Jedwali Na.21: Miradi ya Elimu inayotekelezwa katika Shule za Sekondari
Na |
Jina la Mradi |
Fedha iliyopokelewa |
Miundombinu inayojengwa/ Kamilishwa |
Hatua ya Ujenzi |
% ya Utekelezaji |
1 |
UVIKO 19 |
12,750,731,187.10 |
Madarasa 380
Chuo cha VETA 01 |
Ujenzi wa miundombinu yote umekamilika na inatumika
|
100 |
2
|
SEQUIP
(Awamu ya Kwanza) |
3,290,000,000.00 |
Shule mpya 07 za Sekondari katika Majimbo saba ya Uchaguzi
|
Shule zote 07 zimekamilika na kusajiliwa
|
100
|
3 |
SEQUIP
(Awamu ya Pili) |
9,631,116,403.00 |
Shule mpya 09 za Kata
|
Shule zote 09 zimekamilika na kusajiliwa.
|
100 |
Shule mpya 01 ya Bweni ya Wasichana ya Mkoa (Fedha za Awamu ya kwanza)
|
Ujenzi unaendelea katika hatua mbalimbali. Aidha, shule imesajiliwa na inatumika
|
98 |
|||
Nyumba za walimu 06 za (2 in 1)
|
Ujenzi umekamilika
|
100 |
|||
Maboma ya madarasa 46
Maboma ya Maabara 06 Maboma ya Vyoo 83 |
Miradi yote imekamilika
|
100 |
|||
4 |
SEQUIP
(Awamu ya Tatu) |
|
Shule mpya ya bweni ya wasichana ya Mkoa (Fedha za Awamu ya pili)
|
|
58 |
Shule ya Amali ya Mkoa
|
|
92 |
|||
Shule za Amali za Halmashauri 03
|
|
|
|||
Shule mpya za Kata 08
|
|
||||
Mabweni 14
|
|
||||
Madarasa 16
|
|
||||
Matundu ya vyoo 54
|
|
||||
Nyumba 09
|
|
||||
5 |
Serikali Kuu
|
7,228,934,428.00 |
Madarasa 264
|
Madarasa yamekamilika
|
100 |
Mabweni 08
|
Mabweni yote 08 yamekamilika
|
100 |
|||
Matundu ya vyoo 60
|
Yamekamilika
|
100 |
|||
Nyumba za walimu 04
|
Ujenzi umekamilika
|
100 |
|||
Ukamilishaji Maabara 13
|
Zimekamilika
|
100 |
|||
Mabwalo 02
|
Mabwalo yamekamilika
|
100 |
|||
6 |
Barrick Tanzania
|
186,300.000.00 |
Madarasa 05
Bweni 01 Matundu ya vyoo 03 |
Ujenzi Umekamilika
|
100 |
7 |
EPforR
|
503,400,000.00 |
Madarasa 08
|
Mradi umekamilika
|
100 |
Mabweni 03
|
Ujenzi umekamilika
|
100 |
|||
Matundu ya vyoo 04
|
Yamekamilika
|
100 |
|||
8 |
Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA)
|
51,334,056.00 |
Matundu ya vyoo 24
|
Mradi umekamilika
|
100 |
9 |
Mapato ya Ndani
|
54,800,000.00 |
Ukamilishaji wa Madarasa 11
|
Miradi imekamilika
|
100 |
Jumla Kuu
|
50,320,796,393.10 |
|
|
|
Ujenzi wa Shule mpya za sekondari za Kata kupitia Mradi wa SEQUIP T.
Katika kuhakikisha kuwa wanafunzi wote waliofaulu Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi mwaka 2024 wanapata nafasi ya Kujiunga na Kidato cha Kwanza 2025 katika Shule za Sekondari mbalimbali za Kutwa, Mkoa umesimamia na kukamilisha ujenzi wa Shule zote 09 za Sekondari za Kata kwa asilimia 100. Aidha, Shule hizi zote zilianza kupokea wanafunzi wa Kujiunga na Kidato cha Kwanza mwaka 2024. Aidha ujenzi wa shule nyingine mpya za Sekondari za Kata na Shule za Sekondari za Amali unaendelea katika Halmashauri zote sita na upo katika hatua mbalimbali kama inavyoonekana katika majedwali yafuatayo;-
Jedwali Na.22: Ujenzi wa Shule mpya za Sekondari za Kata (SEQUIP – Awamu ya III)
Na |
HALMASHAURI |
KATA |
KIASI CHA FEDHA KILICHOPOKELEWA |
KIASI KILICHOTUMIKA |
MIUNDOMBINU INAYOJENGWA |
ASILIMIA YA JUMLA YA UTEKELEZAJI |
MAELEZO |
|
|||||
MADARASA |
JENGO LA UTAWALA |
MAABARA |
MAKTABA |
ICT ROOM |
MATUNDU YA VYOO |
|
|||||||
|
|||||||||||||
1 |
BARIADI TC
|
Bunamhala
|
584,280,029.00
|
357,128,779.66
|
8 |
1 |
3 |
1 |
1 |
10 |
72 |
Ujenzi unaendelea |
|
2 |
BARIADI DC
|
Nkololo
|
584,280,029.00
|
424,727,809.00
|
8 |
1 |
3 |
1 |
1 |
10 |
88 |
Ujenzi unaendelea |
|
3 |
BUSEGA DC
|
Kiloleli
|
584,280,029.00
|
78,333,912.00
|
6 |
1 |
3 |
1 |
1 |
10 |
50 |
Ujenzi unaendelea |
|
4 |
ITILIMA DC
|
Nkoma
|
584,280,029.00
|
490,181,584.64
|
8 |
1 |
3 |
1 |
1 |
10 |
95 |
Ujenzi unaendelea |
|
5 |
MASWA DC
|
Mwabaraturu
|
584,280,029.00
|
482,579,526.34
|
8 |
1 |
3 |
1 |
1 |
10 |
85 |
Ujenzi unaendelea |
|
6 |
MASWA DC
|
Sukuma
|
584,280,029.00
|
515,285,445.31
|
8 |
1 |
3 |
1 |
1 |
10 |
96 |
Ujenzi unaendelea |
|
7 |
MEATU DC
|
Kabondo
|
584,280,029.00
|
448,681,210.55
|
8 |
1 |
3 |
1 |
1 |
10 |
85 |
Ujenzi unaendelea |
|
8 |
MEATU DC
|
Mbushi
|
584,280,029.00
|
395,441,653.26
|
8 |
1 |
3 |
1 |
1 |
10 |
75 |
Ujenzi unaendelea |
|
|
JUMLA
|
|
4,674,240,232.00
|
3,192,359,921.00
|
70 |
9 |
27 |
9 |
9 |
90 |
|
|
|
Jedwali Na.22: Ujenzi wa Shule mpya za Sekondari za Amali (SEQUIP – Awamu ya III)
Na |
HALMASHAURI |
KATA |
KIASI CHA FEDHA KILICHOPOKELEWA |
KIASI KILICHOTUMIKA |
MIUNDOMBINU INAYOJENGWA |
ASILIMIA YA JUMLA YA UJENZI ILIYOFIKIWA |
|
|||||||||
MADARASA |
JENGO LA UTAWALA |
MAABARA |
MAKTABA |
ICT ROOM |
MABWENI |
BWALO |
KARAKANA |
NYUMBA |
MATUNDU YA VYOO |
|
||||||
|
||||||||||||||||
1 |
ITILIMA DC
|
Mwamapalala
|
1,600,000,000.00 |
1,243,029,033.96 |
8 |
1 |
2 |
1 |
1 |
4 |
1 |
2 |
1 |
8 |
92 |
|
2 |
BARIADI DC
|
Nkololo
|
584,280,029.00 |
398,728,092.00 |
8 |
1 |
2 |
1 |
1 |
0 |
0 |
0 |
1 |
8 |
83 |
|
3 |
MASWA DC
|
Malampaka
|
584,280,029.00 |
444,282,469.14 |
8 |
1 |
2 |
1 |
1 |
0 |
0 |
0 |
1 |
8 |
93 |
|
4 |
MEATU DC
|
Mwandoya
|
584,280,029.00 |
369,315,000.00 |
8 |
1 |
2 |
1 |
1 |
0 |
0 |
0 |
1 |
8 |
90 |
|
|
JUMLA
|
|
3,352,840,087.00 |
2,455,354,595.10 |
32 |
4 |
8 |
4 |
4 |
4 |
1 |
2 |
4 |
32 |
|
|
2.9.1 Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Bweni ya Wasichana ya Mkoa
Katika ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Bweni ya Wasichana ya Mkoa yenye thamani ya Tshs. 4,450,000,000.00, ujenzi unaendelea katika hatua mbalimbali kwa miundombinu ya awamu ya pili baada ya kukamilika kwa ujenzi wa miundombinu ya awamu ya kwanza. Hadi sasa kwa ujumla ujenzi wa miundombinu yote ya shule umefikia asilimia 97.2 ambapo miundombinu inayoendelea kukamilishwa kwa sasa ni ile ya awamu ya pili ambayo ni madarasa 10, mabweni 04, nyumba za walimu 03, maktaba, chumba cha TEHAMA na Bwalo. Ujenzi huu wa awamu ya pili umefikia asilimia 85 na upo katika hatua mbalimbali kama inavyoonekana katika jedwali lifuatalo na unatarajiwa kukamilika 30 Juni, 2025.
Jedwali Na.23: Hatua za Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Bweni ya Wasichana (Fedha za Awamu ya pili)
HALMASHAURI |
KIASI CHA FEDHA KILICHOPOKELEWA |
KIASI CHA FEDHA KILICHOTUMIKA |
HATUA YA UJENZI KWA KILA MIUNDOMBINU |
% ya Ujenzi |
|||||
MADARASA |
MABWENI |
NYUMBA |
MAKTABA |
ICT ROOM |
BWALO |
||||
Bariadi DC
|
1,450,000,000.00 |
892,637,308.16 |
10 Ukamilishaji
|
2 Upauaji, 1 kuta, 1 msingi
|
Lenta
|
Ukamilishaji
|
Ukamilishaji
|
Ukamilishaji
|
85 |
Sababu za kutokamilika kwa mradi wa Shule ya Sekondari ya Bweni ya Wasichana ya Mkoa
Zipo sababu mbalimbali zilizosababisha mradi wa Shule ya Sekondari ya Bweni ya Wasichana ya Mkoa kutokamilika hadi sasa. Hata hivyo, pamoja na kuwepo kwa changamoto hizo Mkoa unaendelea kusimamia kwa karibu ukamilishaji wa mradi huu na kuhakikisha unakamilika katika viwango vilivyotarajiwa. Sababu za kutokamilika kwa mradi ni pamoja na;-
2.9.2 Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Bweni ya Wavulana ya Kanda ya Ziwa
Mkoa ulipokea fedha kiasi cha Tshs. 4,100,000,000.00 kwa ajili ya ujaenzi wa Shule ya Sekondari ya Bweni ya Wavulana ya Kanda ya Ziwa inayojengwa katika Halmashauri ya Mji Bariadi, Kata ya Mhango, Mtaa wa Ntuzu. Ujenzi wa miundombinu ya Jengo la Utawala, vyumba vya madarasa, mabweni, bwalo, chumba cha wagonjwa, maabara, maktaba, Chumba cha TEHAMA na nyumba za walimu na matundu ya vyoo unaendelea katika hatua mbalimbali ambapo hadi sasa umefikia asilima 58 na unatarajiwa kukamilika ifikapo tarehe 18 Julai, 2025.
2.9.3 Ujenzi wa nyumba za walimu kupitia mradi wa SEQUIP
Katika kuhakikisha kuwa walimu wanapata malazi yaliyo bora ili kuboresha utendaji kazi wao, Mkoa ulipokea fedha Tshs. 1,600,000,000.00 kupitia program ya SEQUIP kwa ajili ya ujenzi wa nyumba 16 za walimu (2 in 1) ambapo awamu ya kwanza ulipokea Tshs. 600,000,000.00 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba 06 ambazo zimekamilika na zinatumika. Aidha, awamu ya pili Mkoa umepokea Tshs. 900,000,000.00 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba 09 ambazo zipo katika hatua mbalimbali za ujenzi kama inavyooneka katika jedwali lifuatalo.
Jedwali Na.24: Hatua za ujenzi wa nyumba za walimu kwa fedha za awamu ya pili
NA |
MKOA |
HALMASHAURI |
JINA LA SHULE |
KIASI CHA FEDHA KILICHOPOKELEWA |
KIASI KILICHOTUMIKA |
HATUA ZA UJENZI ZILIZOFIKIWA |
|
|
|||||||
|
|||||||
1 |
SIMIYU
|
BARIADI DC
|
IHUSI
|
100,000,000.00 |
67,896,660.00 |
Ukamilishaji
|
|
2 |
SIMIYU
|
BARIADI TC
|
SALUNDA
|
100,000,000.00 |
97,100,000.00 |
Ukamilishaji
|
|
3 |
SIMIYU
|
BARIADI TC
|
MWAKIBUGA
|
100,000,000.00 |
96,808,000.00 |
Ukamilishaji
|
|
4 |
SIMIYU
|
BUSEGA DC
|
MWABASABI
|
100,000,000.00 |
28,089,807.00 |
Upauaji
|
|
5 |
SIMIYU
|
ITILIMA DC
|
NKUYU ITILIMA
|
100,000,000.00 |
100,000,000.00 |
Imekamilika
|
|
6 |
SIMIYU
|
MASWA DC
|
KULIMI MKUYUNI
|
100,000,000.00 |
89,092,500.00 |
Ukamilishaji
|
|
7 |
SIMIYU
|
MASWA DC
|
DAKAMA MASWA
|
100,000,000.00 |
99,700,000.00 |
Ukamilishaji
|
|
8 |
SIMIYU
|
MEATU DC
|
MWANHUZI
|
100,000,000.00 |
89,500,000.00 |
Ukamilishaji
|
|
9 |
SIMIYU
|
MEATU DC
|
MBUGAYABANYHA
|
100,000,000.00 |
90,300,000.00 |
Ukamilishaji
|
|
|
JUMLA
|
|
|
900,000,000.00 |
|
|
|
Mkoa wa Simiyu umepata mafanikio mbalimbali kuanzia mwaka 2021 hadi sasa kutokana na uwekezaji mkubwa uliofanyika katika Sekta ya Elimu. Miongoni mwa mafanikio hayo ni pamoja na;
Shule mpya zimewapunguzia wanafunzi umbali wa kutembea na hivyo kuongeza mahudhurio yao shuleni.
Bariadi - Somanda
Anuani ya Posta: S. L. P. 4, BARIADI.
Simu ya Mezani: 028-2700011/2700054
Simu ya Mkononi: 028-2700011/2700054
Barua Pepe: ras@simiyu.go.tz
Hati Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.Haki Zote Zimehifadhiwa