LENGO
Seksheni hii inajumuisha na hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu, lengo la seksheni hii ni kusaidia au kuwezesha utoaji wa huduma bora za Afya za kinga, matibabu na maendeleo ya huduma za Afya na Ustawi wa Jamii katika Mkoa. Seksheni hii inaongozwa na Katibu Tawala Msaidizi ambaye pia ni Mganga Mkuu wa Mkoa, ambaye anawajibika kwa Katibu Tawala wa Mkoa.
Majukumu ya seksheni/sehemu ya Afya na Ustawi wa Jamii:
Sekesheni hii inaongozwa Kaimu Katibu Tawala Msaidizi ambaye ni Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa
Jina.Dkt. Khamis R. Kulemba
Hospitali ya Mkoa ipo chini ya uangalizi na Mganga Mfawidhi
Jina:Dkt. Matoke Muyenjwa
Bariadi - Somanda
Anuani ya Posta: S. L. P. 4, BARIADI.
Simu ya Mezani: 028-2700011/2700054
Simu ya Mkononi: 028-2700011/2700054
Barua Pepe: ras@simiyu.go.tz
Hati Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.Haki Zote Zimehifadhiwa