• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo |
    • Barua pepe |
OFISI YA MKUU WA MKOA WA SIMIYU
OFISI YA MKUU WA MKOA WA SIMIYU

.JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA .OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA OFISI YA MKUU WA MKOA WA SIMIYU

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dhamira na Dira
  • Idara na vitengo
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Health Service and SocialWelfare
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Seksheni ya Elimu
      • Huduma za Maji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Uhasibu na Fedha
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano(TEHAMA)
      • Kitengo cha Ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
  • Sekta ya Afya
    • Hospitali ya Rufaa ya Mkoa
    • Huduma za Afya Mkoa
  • Sekta ya Elimu
  • Sekta ya Kilimo
    • Sekta ya Mifugo
    • Sekta ya Uvuvi
    • Sekta ya Maliasili na Mazingira
    • Sekta ya Ushirika
  • Sekta Utalii
  • Kituo cha Habari

Huduma za Afya

Sekta ya Afya imeendelea kuwa muhimu katika kutoa huduma bora za Afya kwa wananchi wa Mkoa wa Simiyu. Katika kipindi cha Novemba 2020 hadi Aprili 2025, mafanikio mbalimbali yamepatikana kama ifuatavyo:- Kuongezeka kwa vituo vya kutolea huduma za Afya kutoka Vituo 242 Novemba,2020 hadi  Vituo 272 Aprili, 2025. Mchanganuo wa vituo hivyo ni pamoja na kuongezeka kwa Hospitali ya Mkoa1,Hospitali za Wilaya zimeongezeka  kutoka 3  hadi kufikia 6 (Bariadi1,Busega 1 na Itilima 1), Vituo vya Afya vimeongezeka kutoka 19 hadi kufikia  21, (ongezeko ni zahanati  2 Wialaya ya Itilima 1,na Meatu 1). Zahanati zimeongezeka kutoka 190 .hadi kufikia 242 (ongezeko ni zahanati 52. Bariadi zimeongezeka zahanati 17, Busega  1,Itilima 8, Maswa 11 na Meatu 6)

  • Vilevile, hali ya upatikanaji wa dawa na vifaa tiba imeongezeka kutoka asilimia 58 %hadi asilimia 80%
  • Jedwali.Idadi ya Vituo vya kutolea huduma za Afya,Upatikanaji wa vifaa tiba na Dawa na Idadi ya watumishi wa  Afya

Wilaya/Taasisi

Hospitali ya Rufaa

Hospitali za Wilaya(serikali na (Dini)

Zahanati

Vituo vya Afya

Asilimia Upatikanaji wa dawa na vifaa tiba(asilimia%)

Idadi ya Watumishi

Nyumba

2020

2025

2020

2025

2020

2025

2020

2025

2020

2025

2020

2025

2020

2025

Rufaa

1

1









139

           330

0

              0
Bariadi


3
3
36
53
4
4

48.50%

87.50%

393

            606

 9

26

Busega


2
2
26
27
4
4

41%

85%

255
          260

0

12

Itilima


1
1
34
42
4
5

38%

86%

123
          274

25

32

Maswa


1
1
43
54
4
4

48%

84%

  • 276
  • 334

78

100

Meatu


  • 1
  • 1
  • 2
  • 4
  • 41
  • 61
  • 71%
  • 87%
  • 214
  • 338

             63

82

JUMLA


9

190
242
19
21


1400

2142

             175
              252

Miundombinu mipya kama vile Idara za EMD 5 na ICU  vyumba vya kuhifadhia maiti,vyumba vya upasuaji na Maabara za kisasa ,Majengo ya Kufulia  vifaa kwa wakati na majengo hayo yote ya meanza kutoa huduma kwa wananchi. Mkoa wetu ulipata mashine ya CT – scan ambayo tayari imeshaanza kutoa huduma kwa wananchi. Pia tunao mtambo wa kuzalisha hewa tiba (oxygen plant) unaotosheleza mahitaji ya Mkoa wetu wa Simiyu na pia majirani zetu wa Mara. Mtambo huo unauwezo wa kuzalisha kiasi cha mitungi 80-100 kwa siku.

  • Mafanikio; Huduma za kibingwa na ubingwa bobezi zimeimarika ndani ya Mkoa kupitia kambi mbalimbali za kibingwa (Kambi za Mama Samia) zinazojumuisha madaktari bingwa kutoka ndani na nje ya mkoa na hivyo kurahisisha upatikanaji wa huduma zote muhimu za kibingwa ndani ya Mkoa ili kupunguza adha ya wananchi kusafiri umbali mrefu kupata huduma hizo.

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 01, 2025
  • Fungua

Habari Mpya

  • MASHINDANO YA UMISETA NA UMITASHUMTA YAZINDULIWA KIMKOA MASWA. DC NGATUMBURA ASISITIZA NIDHAMU NA BIDII ILI KUPATA USHINDI KATIKA NGAZI YA TAIFA.

    May 30, 2025
  • SIMIYU RS WAHAMIA JENGO JIPYA LA UTAWALA NYAUMATA

    June 03, 2024
  • RC NAWANDA ARIDHISHWA NA UJENZI MRADI WA MAJI MWABUMA/MWASHATA MEATU.

    May 30, 2024
  • RC SIMIYU ARIDHISHWA NA MAENDELEO UJENZI WA MRADI WA USAMBAZAJI MAJI WA VIJIJI VYA SUNZULA, MWAMNEMA NA NGESHA WILAYANI ITILIMA,

    May 29, 2024
  • Fungua

Video

MIAKA MINNE YA RAIS DKT.SAMIA SULUHU HASSAN MKOANI SIMIYU
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Mwongozo wa Uwekezaji wa Mkoa(Fursa za Uwekezaji)
  • Historia ya Mkoa
  • TUME YA RAIS UKUSANYAJI MAONI MABORESHO YA KODI YATUA SIMIYU
  • Takwimu za haraka
  • Picha za Matukio Mbalimbali
  • Vivutio vya Utalii
  • SIMIYU- RS TV

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Ikulu
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Serikali
  • Watumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Bariadi - Somanda

    Anuani ya Posta: S. L. P. 4, BARIADI.

    Simu ya Mezani: 028-2700011/2700054

    Simu ya Mkononi: 028-2700011/2700054

    Barua Pepe: ras@simiyu.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Video

Hati Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.Haki Zote Zimehifadhiwa