• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo |
    • Barua pepe |
OFISI YA MKUU WA MKOA WA SIMIYU
OFISI YA MKUU WA MKOA WA SIMIYU

.JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA .OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA OFISI YA MKUU WA MKOA WA SIMIYU

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dhamira na Dira
  • Idara na vitengo
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Health Service and SocialWelfare
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Seksheni ya Elimu
      • Huduma za Maji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Uhasibu na Fedha
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano(TEHAMA)
      • Kitengo cha Ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
  • Sekta ya Afya
    • Hospitali ya Rufaa ya Mkoa
    • Huduma za Afya Mkoa
  • Sekta ya Elimu
  • Sekta ya Kilimo
    • Sekta ya Mifugo
    • Sekta ya Uvuvi
    • Sekta ya Maliasili na Mazingira
    • Sekta ya Ushirika
  • Sekta Utalii
  • Kituo cha Habari

RC SIMIYU ARIDHISHWA NA MAENDELEO UJENZI WA MRADI WA USAMBAZAJI MAJI WA VIJIJI VYA SUNZULA, MWAMNEMA NA NGESHA WILAYANI ITILIMA,

Posted on: May 29th, 2024


WANANCHI 13000 KUONDOKANA NA ADHA YA UHABA WA MAJI.

Itilima,

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe Dkt Yahaya Nawanda amekagua ujenzi wa mradi wa usambazaji maji wa vijiji vya Sunzula Mwamnema na G'hesha Wilayani Itilima katika Kata ya Mbita Kijiji Cha Sunzula.

Dkt.Nawanda ameridhishwa na maendeleo ya Ujenzi wa Mradi huo ambapo amemtaka Mkandarasi kukamilisha Mradi huo kwa ubora na viwango ndani ya muda uliopangwa.

Bilioni 2. 1 zitatumika katika utekelezaji wa mradi huo wa Maji unaotekelezwa na Mkandarasi M/S AVICO BIZ LTD unaotarajiwa kukamilika Mwezi Septemba 2024.

Meneja wa RUWASA Wilaya ya Itilima Mhandisi Husein Yahaya amesema hadi sasa utekelezaji wa mradi huo umekamilika kwa Asilimia 73 ambapo
Takribani Wananchi 13,000 wataondokana na Adha adha ya kusafiri umbali mrefu kufuata Maji pamoja na kuondoka na Magonjwa yatokanayo na matumizi ya Maji yasiyo salama.

Kwa upande wao Wananchi wa Kijiji cha Sunzula wamemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwaletea mradi huo.

GCO,
Simiyu -RS
29 Mei 2024.


4d



See translation







Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 01, 2025
  • Fungua

Habari Mpya

  • MASHINDANO YA UMISETA NA UMITASHUMTA YAZINDULIWA KIMKOA MASWA. DC NGATUMBURA ASISITIZA NIDHAMU NA BIDII ILI KUPATA USHINDI KATIKA NGAZI YA TAIFA.

    May 30, 2025
  • SIMIYU RS WAHAMIA JENGO JIPYA LA UTAWALA NYAUMATA

    June 03, 2024
  • RC NAWANDA ARIDHISHWA NA UJENZI MRADI WA MAJI MWABUMA/MWASHATA MEATU.

    May 30, 2024
  • RC SIMIYU ARIDHISHWA NA MAENDELEO UJENZI WA MRADI WA USAMBAZAJI MAJI WA VIJIJI VYA SUNZULA, MWAMNEMA NA NGESHA WILAYANI ITILIMA,

    May 29, 2024
  • Fungua

Video

MIAKA MINNE YA RAIS DKT.SAMIA SULUHU HASSAN MKOANI SIMIYU
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Mwongozo wa Uwekezaji wa Mkoa(Fursa za Uwekezaji)
  • Historia ya Mkoa
  • TUME YA RAIS UKUSANYAJI MAONI MABORESHO YA KODI YATUA SIMIYU
  • Takwimu za haraka
  • Picha za Matukio Mbalimbali
  • Vivutio vya Utalii
  • SIMIYU- RS TV

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Ikulu
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Serikali
  • Watumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Bariadi - Somanda

    Anuani ya Posta: S. L. P. 4, BARIADI.

    Simu ya Mezani: 028-2700011/2700054

    Simu ya Mkononi: 028-2700011/2700054

    Barua Pepe: ras@simiyu.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Video

Hati Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.Haki Zote Zimehifadhiwa