Posted on: April 17th, 2017
Serikali mkoani Simiyu imeomba kuwepo kwa kikundi cha ulinzi cha kijeshi katika Wilaya ya Busega ili kusaidia mapambano dhidi ya vitendo vya uhalifu ikiwemo uvuvi haramu na kuwezesha ufugaji wa samaki...
Posted on: April 12th, 2017
Maafisa Maendeleo ya Jamii wametakiwa kutumia taaluma yao kuleta mabadiliko katika jamii kwa kubaini fursa mbalimbali zinazoweza kuwaletea wananchi maendeleo katika maeneo yao.
Wito huo umetolewa n...
Posted on: April 11th, 2017
Wanufaika wa Mpango wa kunusuru kaya maskini TASAF III wametakiwa kubuni miradi midogo midogo kwa kutumia fedha wanazopata ili kujiongezea kipato.
Wito huo umetolewa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Sim...