Posted on: December 1st, 2021
Mhe. Kafulila ameyasema hayo wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani yaliyofanyika kimkooa katika Viwanja Vya Halmashauri Bariadi, Mkoani Simiyu.
Akizungumza Mhe Kafu...
Posted on: November 28th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. David Kafulila ameelekeza Kamati za Usalama za Wilaya chini ya Mkuu wa Wilaya kuhakikisha hakuna uvamizi wowote unaofanyika katika vyanzo vya maji kwenye wilaya zao.
" ...
Posted on: November 27th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu,Mhe.David Kafulila amemuelekeza Katibu Tawala Mkoa Simiyu Bi. Prisca Kayombo,kuwataka wakurugenzi wa Itilima na Maswa kujieleza kufuatia kuchelewa utekelezaji miradi ya ujenzi w...