Posted on: July 1st, 2017
Mwenge wa Uhuru unatarajia kuanza Mbio zake Mkoani Simiyu kuanzia Siku ya Jumanne tarehe 04/07/2017, ambapo utapokelewa Wilayani Meatu ukitokea Mkoani Singida.
Tarehe 05/07/2017 utakuwa Itilima, 06...
Posted on: June 24th, 2017
Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umekabidhi hundi ya shilingi bilioni 1.5 kwa Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu, fedha ambazo ni mkopo kwa ajili ya ...
Posted on: June 23rd, 2017
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Laurian Ndumbaro amesema taarifa ya rufaa ya watumishi waliobainika kuwa na vyeti feki itatolewa Juni 30, mwaka huu.
...