MWONGOZO WA UWEKEZAJI MKOANI SIMIYU
Mwongozo wa Uwekezaji Mkoani Simiyu ni Matokeo ya Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Utafiti wa Kiuchumi na Kijamii (ESRF) katika Halmashauri zote sita za mkoa wa Simiyu(Bariadi Vijijini, Bariadi Mjini,Busega,Itilima,Maswa na Meatu) kwa ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa(UNDP).
Mwongozo huu umebainisha takribani fursa 26 za uwekezaji kutoka sekta zote muhimu. Kwa taarfa zaidi fungua mwongozo huo hapa chini.....
Pakua hapa....MWONGOZO WA UWEKEZAJI MKOANI SIMIYU.pdf
Bariadi - Somanda
Anuani ya Posta: S. L. P. 4, BARIADI.
Simu ya Mezani: 028-2700011/2700054
Simu ya Mkononi: 028-2700011/2700054
Barua Pepe: ras@simiyu.go.tz
Hati Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.Haki Zote Zimehifadhiwa