DIRA
“Kuwa Mkoa wenye Uchumi shindani unaoongoza katika kuongeza thamani kwenye rasilimali na fursa zilizopo ili kukuza Uchumi, kuongeza ajira na kuboresha maisha ya wananchi katika mazingira Tulivu na Salama”
DHAMIRA
“Kuongoza katika kutoa ushauri wenye weledi kwa Halmashauri na wadau wengine kuhusu namna bora ya kuongeza thamani kwenye rasilimali zilizopo kwa kuanzisha shughuli za kiuchumi vikiwemo viwanda vidogo, vya kati na vikubwa ili kuongeza ajira, kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja na wa Kitaasisi kupitia ubia baina ya Serikali na asasi binafsi kulingana na mazingira ya Mkoa chini ya Dhana ya Wilaya Moja Bidhaa Moja”
Bariadi - Somanda
Anuani ya Posta: S. L. P. 4, BARIADI.
Simu ya Mezani: 028-2700011/2700054
Simu ya Mkononi: 028-2700011/2700054
Barua Pepe: ras@simiyu.go.tz
Hati Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.Haki Zote Zimehifadhiwa