Posted on: November 15th, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka amesema nimatarajio ya mkoa huo ni kuwa na viwanda vichache vitakavyoajiri maelefu ya Watanzania badala ya kuwa na viwanda maelfu vinavyoajiri watu wachache ...
Posted on: November 13th, 2019
Mwekezaji kutoka nchini Uturuki, Bw. Mustafa Albayram ameahidi kujenga viwanda viwili; kiwanda cha nguo na kiwanda cha kutengeneza glasi katika eneo la Isanga Mjini Bariadi Mkoani Simiyu mwaka 2...
Posted on: November 8th, 2019
Shirika la Bima la Taifa (NIC)linatarajia kuanza kutoa huduma za bima ya mazao kwa wakulima wa pamba katika Wilaya ya Meatu na Maswa Mkoani Simiyu, ambapo wakulima watakuwa na uwezo wa kukata bima kat...