Posted on: December 27th, 2017
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa. Joyce Ndalichako amesema Serikali inatarajia kuanza ujenzi wa Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi(VETA) cha Mkoa wa Simiyu kuanzia mwezi Machi, 2018.
W...
Posted on: December 8th, 2017
Jumla ya wanafunzi 19,242 mkoani Simiyu sawa na asilimia 92.5 wamechaguliwa kujiunga na shule za sekondari katika awamu ya kwanza kwa mwaka 2018.
Hayo yamesemwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, ...
Posted on: December 6th, 2017
Mkoa wa Simiyu unatarajia kuvuna takribani tani 264,000 sawa na kilo milioni 264 hadi tani 490,000 sawa na kilo milioni 490 za zao la pamba, katika msimu wa mwaka 2017/2018 kutoka kilo milioni 7...