Posted on: September 7th, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli atafanya ziara ya siku tatu (03) Mkoani Simiyu, kuanzia kesho tarehe 08/09/2018 hadi tarehe 10/09/2018, Mkoani Simiyu.
...
Posted on: September 5th, 2018
Chama Kikuu cha Ushirika cha Mkoa wa Simiyu- Simiyu Co-Operative Union (SIMCU) kimefanya Uchaguzi wa Viongozi wa Chama hicho, ikiwa ni kwa mara ya kwanza kwa Chama hicho kufanya Mkutano wake Mkuu, tan...
Posted on: September 4th, 2018
Wananchi wa Kijiji cha Mwasubuya wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu wamesema Mradi wa Umwagiliaji wa Mwasubuya wenye ekari 514 utawasaidia kubadili maisha yao kiuchumi kwa kuwa wanatarajia kuongeza mavun...