Posted on: July 10th, 2020
Shirika lisilo la Kiserikali la AMREF kupitia mradi wa UZAZI UZIMA limetoa msaada wa vifaa kinga kuunga mkono Serikali katika tahadhari dhidi ya maambukizi ya Virusi vya CORONA kwa mkoa wa Simiyu.
...
Posted on: July 8th, 2020
Aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Bw. Jumanne Sagini amemkabidhi rasmi ofisi mrithi wake Bi. Miriam Mmbaga ambaye aliteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufu...
Posted on: July 4th, 2020
Mkuu wa JKT nchini Meja Jenerali Charles Mbuge wamefanya ziara ya siku moja mkoani Simiyu kwa lengo la kukagua maendeleo ya utekelezaji wa miradi inayotekelezwa na Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi ...