Posted on: September 10th, 2020
Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Khamis Kulemba ameutaka uongozi wa Kituo cha Afya Lukungu wilayani Busega kuimarisha ukusanyaji na usimamizi wa mapato (kudhibiti upotevu wa mapato) ili kuong...
Posted on: September 9th, 2020
Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Bi. Miriam Mmbaga amemwagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega, Bw. Anderson Njiginya kutoa fedha kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa majengo ya upasuaji na...
Posted on: September 3rd, 2020
Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Bi. Miriam Mmbaga leo amefanya kikao na Uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii NSSF na baadhi ya waajiri wa sekta binafsi mkoani Simiyu kwa lengo la kujadili ulipa...