Posted on: September 24th, 2020
Serikali imetoa jumla ya shilingi 2,327,259,225 kwa walengwa wa TASAF III awamu ya pili wapatao 28984 kupitia mpango wa kunusuru kaya maskini katika kipindi cha mwezi Julai hadi Oktoba mwa...
Posted on: September 12th, 2020
Bodi ya Mkonge Tanzania imekutana na uongozi wa mkoa wa Simiyu na baadhi ya watendaji na wataalam wa kilimo kwa lengo la kujadili mwongozo wa kilimo cha mkonge mkoani hapa lengo likiwa ni kuhakikisha ...
Posted on: September 12th, 2020
Upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama Mkoani Simiyu unatarajiwa kuongezeka kutoka asilimia 51 ya mwaka 2019 hadi 57.4 ifikapo 0ktoba 2020 kupitia mradi wa lipa kulingana na matokeo (P4R ) hali ...