Posted on: February 14th, 2018
Mkoa wa Simiyu umejipanga kimkakati katika kuhakikisha unaongeza ufaulu kwenye Elimu na kuwa miongoni mwa mikoa inayofanya vizuri Kitaifa kutoka mahali ulipo sasa, kwenda kwenye nafasi ya ...
Posted on: February 10th, 2018
Serikali imewahakikishia wakulima wa pamba Mkoani Simiyu kuwa itatoa chupa 2,000,000 za dawa ya kuuwa wadudu wanaoshambulia zao la Pamba ili kuwasaidia katika kukabiliana na wadudu hao.
Hayo yamese...
Posted on: February 5th, 2018
Walimu wa Shule za Msingi Mkoani Simiyu wameiomba Serikali kushughulikia changamoto ya ukosefu wa vitabu vya darasa la nne ili waweze kutimiza wajibu wao vema wa kuwafundisha wanafunzi jambo amb...