Posted on: February 24th, 2018
Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini hapa nchini (RITA) unatarajia kuanza kutekeleza mpango wa kusajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano kuanzia mwezi Machi...
Posted on: February 23rd, 2018
Kampuni ya Simon Group imechangia kiasi cha Shilingi Milioni 25 kwa ajili ya Ujenzi wa Miundombinu ya Elimu katika mkoa wa Simiyu
Akikabidhi hundi hiyo kwa niaba ya Mkurugenzi wa Simon Group,...
Posted on: February 23rd, 2018
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan amekemea tabia ya baadhi ya viongozi kuwapa ndugu au jamaa zao zabuni za ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwepo mir...