Posted on: September 22nd, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka amezindua kampeni ya Shirika la Simu Tanzania (TTCL) Rudi Nyumbani Kumenoga mkoani humo na kuipongeza TCCL kwa kuboresha huduma zake na kuwa miongoni mwa mas...
Posted on: September 20th, 2018
Waziri wa nishati Dkt Medard Kalemani amemuondoa Meneja wa TANESCO wilaya ya Meatu mkoani Simiyu Bw.Amos Mtae katika nafasi ya umeneja baada ya kushindwa kusimamia usambazaji wa umeme kupitia Mradi wa...
Posted on: September 20th, 2018
Mkoa wa Simiyu umezindua Mpango wa kupima maeneo ya wafugaji na wakulima kwa kutumia teknolojia ya kisasa ya ndege nyuki (drones) lengo likiwa ni kuwawezesha kuyatambua maeneo yao na kupewa hati milik...