KuelekeaMaadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Kitaifa amabyo yatafanyika BariadiMkoani Simiyu, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Mhe.Ummy Mwalimu amezitaka Halmashauri zote ambazo hazijatenga asilimia kumi yamapato ya ndani ambayo ni fedha kwa ajili Wanawake, vijana na watu wenyeulemavu kuhakikisha zinatenga fedha hizo ifikapo Machi 30, 2020 ili kuyawezeshamakundi hayo kupata mikopo.
Mhe. Ummy Mwalimu ameyasema hayo Machi 05,2020 wakati wa Uzinduzi wa Maonesho ya shughuli za wanawake wajasiriamali najitihada za wadau katika kuwezesha wanawake kiuchumi na kuleta usawa wakijinsia, katika Uwanja wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi.
Bariadi - Somanda
Anuani ya Posta: S. L. P. 4, BARIADI.
Simu ya Mezani: 028-2700011/2700054
Simu ya Mkononi: 028-2700011/2700054
Barua Pepe: ras@simiyu.go.tz
Hati Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.Haki Zote Zimehifadhiwa