• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo |
    • Barua pepe |
OFISI YA MKUU WA MKOA WA SIMIYU
OFISI YA MKUU WA MKOA WA SIMIYU

.JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA .OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA OFISI YA MKUU WA MKOA WA SIMIYU

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dhamira na Dira
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Health Service and SocialWelfare
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Seksheni ya Elimu
      • Huduma za Maji
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uhasibu na Fedha
      • TEHAMA
      • Ununuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Strong
    • Vifungu vya Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Hotuba
    • Taratibu
  • Media Centre
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Habari
    • Video
    • Albamu ya Picha
    • Matukio yajayo
  • Miradi
    • Miradi iliyotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
  • Wilaya na Halmashauri
    • Wilaya
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bariadi
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Busega
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Itilima
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Maswa
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Meatu
    • Halmashauri
      • Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi
      • Halmashauri ya Mji wa Bariadi
      • Halmashauri ya Wilaya ya Busega
      • Halmashauri ya Wilaya ya Itilima
      • Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
      • Halmashauri ya Wilaya ya Meatu
  • Uwekezaji na Utalii
    • Fursa za Uwekezaji
    • Wanyamapori na Utalii

WANANCHI WATAKIWA KUTOWANYANYAPAA WANAOKUTWA NA DALILI ZA KIPINDUPINDU WATAKIWA KUFUATA USHAURI WA KITAALAMU UTOAJI I HUDUMA YA KWANZA.

Posted on: January 4th, 2024


Meatu,

Wananchi Mkoani Simiyu wametakiwa kutowanyanyapaa na kuwakimbia wagonjwa watakaokutwa na magonjwa ya kuhara na badala yake wameshauriwa kuzingatia ushauri wa kitaalamu wakati wa utoaji wa huduma ya kwanza sambamba na utoaji Taarifa mapema ili kunusuru uhai wa wagonjwa.

Rai hiyo imetolewa na Afisa Afya Mkoa wa Simiyu Bw.Bashiru Salum katika kikao cha kujadili mikakati ya kukabiliana na magonjwa ya mlipuko ikiwemo  kipindupindu kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu.

Ameeleza kuwa kuwapa huduma ya kwanza kwa wakati wagonjwa watakaobainika kuwa na dalili za kipindupindu itasaidia kwa kiasi kikubwa kudhibiti ulipuko wa magonjwa hayo kuenea maeneo mengine.

Aidha ametoa rai kwa wataalamu kuelekeza nguvu kubwa katika utoaji wa Elimu kwa Jamii juu ya namna bora ya utoaji wa huduma ya kwanza kwa wagonjwa wenye dalili za magonjwa ya kuhara hatua itakayosaidia kudhibiti kuenea kwa ugonjwa na pia kuokoa Maisha ya wagonjwa.


Licha ya kutokuwepo kwa kisa chochote cha magonjwa ya kuhara Wilayani Meatu,wataalamu wa Afya Wilayani humo  wamehimizwa kujikita zaidi katika utoaji wa Elimu ya kujikinga na magonjwa hayo.

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 01, 2025
  • Fungua

Habari Mpya

  • SIMIYU RS WAHAMIA JENGO JIPYA LA UTAWALA NYAUMATA

    June 03, 2024
  • RC NAWANDA ARIDHISHWA NA UJENZI MRADI WA MAJI MWABUMA/MWASHATA MEATU.

    May 30, 2024
  • RC SIMIYU ARIDHISHWA NA MAENDELEO UJENZI WA MRADI WA USAMBAZAJI MAJI WA VIJIJI VYA SUNZULA, MWAMNEMA NA NGESHA WILAYANI ITILIMA,

    May 29, 2024
  • SHULE 8 ZA MSINGI ZAPATIWA VIFAA VYA TEHAMA SIMIYU.

    April 20, 2024
  • Fungua

Video

MIAKA MINNE YA RAIS DKT.SAMIA SULUHU HASSAN MKOANI SIMIYU
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Mwongozo wa Uwekezaji wa Mkoa(Fursa za Uwekezaji)
  • Historia ya Mkoa
  • TUME YA RAIS UKUSANYAJI MAONI MABORESHO YA KODI YATUA SIMIYU
  • Takwimu za haraka
  • Picha za Matukio Mbalimbali
  • Vivutio vya Utalii
  • SIMIYU- RS TV

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Ikulu
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Serikali
  • Watumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Bariadi - Somanda

    Anuani ya Posta: S. L. P. 4, BARIADI.

    Simu ya Mezani: 028-2700011/2700054

    Simu ya Mkononi: 028-2700011/2700054

    Barua Pepe: ras@simiyu.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo
    • Ramani
    • Video

Hati Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.Haki Zote Zimehifadhiwa