Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Bw. Jumanne Sagini amewataka viogozi wa Halmashauri mkoani hapa kuwachukulia hatua watumishi wote waliosabaisha hoja za ukaguzi.
Sagini ameyasema hayo katika kikao maalum cha Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya Itilima, ambacho kimefanyika kwa lengo kujadili hoja na mapendekezo ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha 2018/2019.
Bariadi - Somanda
Anuani ya Posta: S. L. P. 4, BARIADI.
Simu ya Mezani: 028-2700011/2700054
Simu ya Mkononi: 028-2700011/2700054
Barua Pepe: ras@simiyu.go.tz
Hati Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.Haki Zote Zimehifadhiwa