• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo |
    • Barua pepe |
OFISI YA MKUU WA MKOA WA SIMIYU
OFISI YA MKUU WA MKOA WA SIMIYU

.JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA .OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA OFISI YA MKUU WA MKOA WA SIMIYU

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dhamira na Dira
  • Idara na vitengo
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Health Service and SocialWelfare
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Seksheni ya Elimu
      • Huduma za Maji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Uhasibu na Fedha
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano(TEHAMA)
      • Kitengo cha Ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
  • Sekta ya Afya
    • Hospitali ya Rufaa ya Mkoa
    • Huduma za Afya Mkoa
  • Sekta ya Elimu
  • Sekta ya Kilimo
    • Sekta ya Mifugo
    • Sekta ya Uvuvi
    • Sekta ya Maliasili na Mazingira
    • Sekta ya Ushirika
  • Sekta Utalii
  • Kituo cha Habari

SERIKALI KUTOA AJIRA 25,000 SEKTA YA ELIMU, AFYA

Posted on: December 20th, 2023


Waziri  wa Nchi, Ofi si ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amesema mwezi ujao serikali inatarajiwa kutangaza nafasi za kazi 25,000 kwenye sekta ya afya na elimu ili kukabiliana na upungufu wa watumishi uliopo.


Pia amewataka watendaji na watumishi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa kutokubali serikali kutukanwa. 

Mchengerwa ameyasema hayo jana mjini Simiyu wakati wa ziara yake ya kukagua miradi na kuzungumza na watumishi mkoani Simiyu. Alisema baada ya kukamilisha taratibu za serikali, mkoa huo utaongezewa watumishi walioombwa kwenye kada mbalimbali ikiwamo za afya na elimu.

Awali, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dk Yahaya Nawanda alisema mahitaji ya watumishi kwa mkoa na wilaya zake ni 21,000 na waliopo ni 12,000, hivyo kuwa na upungufu wa watumishi 8,000 na kuiomba serikali kuwaondolea changamoto hiyo hususani katika sekta ya elimu na afya.

“Ukipata nafasi ishikilie kama hamuamini angalieni tuliokuwa nao serikalini huko nje hali zao zikoje, mkiweka kipimo hicho mtajiongeza kuwa kuna uhitaji wa kuwahudumia Watanzania wenye nchi yao, asije pale ukamfokea ukashindwa kumhudumia,” alisema. Alisema katika kanzidata ya Ofisi ya Rais-Tamisemi kuna watu wanaoomba kazi kwenye sekta ya afya zaidi ya 100,000 na kwenye elimu ni hivyo hivyo.


Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 01, 2025
  • Fungua

Habari Mpya

  • MASHINDANO YA UMISETA NA UMITASHUMTA YAZINDULIWA KIMKOA MASWA. DC NGATUMBURA ASISITIZA NIDHAMU NA BIDII ILI KUPATA USHINDI KATIKA NGAZI YA TAIFA.

    May 30, 2025
  • SIMIYU RS WAHAMIA JENGO JIPYA LA UTAWALA NYAUMATA

    June 03, 2024
  • RC NAWANDA ARIDHISHWA NA UJENZI MRADI WA MAJI MWABUMA/MWASHATA MEATU.

    May 30, 2024
  • RC SIMIYU ARIDHISHWA NA MAENDELEO UJENZI WA MRADI WA USAMBAZAJI MAJI WA VIJIJI VYA SUNZULA, MWAMNEMA NA NGESHA WILAYANI ITILIMA,

    May 29, 2024
  • Fungua

Video

MIAKA MINNE YA RAIS DKT.SAMIA SULUHU HASSAN MKOANI SIMIYU
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Mwongozo wa Uwekezaji wa Mkoa(Fursa za Uwekezaji)
  • Historia ya Mkoa
  • TUME YA RAIS UKUSANYAJI MAONI MABORESHO YA KODI YATUA SIMIYU
  • Takwimu za haraka
  • Picha za Matukio Mbalimbali
  • Vivutio vya Utalii
  • SIMIYU- RS TV

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Ikulu
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Serikali
  • Watumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Bariadi - Somanda

    Anuani ya Posta: S. L. P. 4, BARIADI.

    Simu ya Mezani: 028-2700011/2700054

    Simu ya Mkononi: 028-2700011/2700054

    Barua Pepe: ras@simiyu.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Video

Hati Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.Haki Zote Zimehifadhiwa