❇️❇️RC SIMIYU AKABIDHI JEZI KWA 16 BORA SIMIYU SUPER CUP 2023,
NI UTEKELEZAJI WA AHADI YAKE KWA TIMU ZILIZOINGIA MICHUANO YA ROBO FAINALI.
MSHINDI FAINALI KUJINYAKULIA KITITA CHA MILIONI NNE.
Bariadi,
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe.Dkt Yahaya Ismail Nawanda amekabidhi Jezi Kwa timu 16 Bora katika michuano inayoendelea ya Simiyu Super Cup 2023 ikiwa ni utekelezaji wa ahadi yake kwa timu zitakazoingia katika michuano ya robo fainali.
Binto Benjamin,Afisa kutoka Ofisi ya Katibu Tawala Wilaya ya Bariadi ememuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Simiyu katika shughuli ya kukabidhi zawadi hizo za Jezi Jozi moja pamoja na Mpira mmoja kwa kila timu.
Bariadi - Somanda
Anuani ya Posta: S. L. P. 4, BARIADI.
Simu ya Mezani: 028-2700011/2700054
Simu ya Mkononi: 028-2700011/2700054
Barua Pepe: ras@simiyu.go.tz
Hati Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.Haki Zote Zimehifadhiwa