Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe, Anthony Mtaka ameitaka kamati ya kushughulikia watu wenye ulemavu mkoani humo kujenga miradi itakayowasaidia walemavu kuimarisha uchumi wao na kuondokana na huku akizitaka sekta za umma na binafsi kuzingatia miundombinu ya watu wenye ulemavu.
Mtaka ameyasema hayo wakati wa Uzinduzi wa Kamati ya kushughulika watu wenye ulemavu ya mkoa, ambao umefanyika leo Novemba 16, 2018 Mjini
Bariadi - Somanda
Anuani ya Posta: S. L. P. 4, BARIADI.
Simu ya Mezani: 028-2700011/2700054
Simu ya Mkononi: 028-2700011/2700054
Barua Pepe: ras@simiyu.go.tz
Hati Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.Haki Zote Zimehifadhiwa