• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo |
    • Barua pepe |
Simiyu Region

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Simiyu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dhamira na Dira
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Health Service and SocialWelfare
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Seksheni ya Elimu
      • Huduma za Maji
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uhasibu na Fedha
      • TEHAMA
      • Ununuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Strong
    • Vifungu vya Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Hotuba
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Habari
    • Video
    • Albamu ya Picha
    • Matukio yajayo
  • Miradi
    • Miradi iliyotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
  • Wilaya na Halmashauri
    • Wilaya
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bariadi
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Busega
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Itilima
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Maswa
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Meatu
    • Halmashauri
      • Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi
      • Halmashauri ya Mji wa Bariadi
      • Halmashauri ya Wilaya ya Busega
      • Halmashauri ya Wilaya ya Itilima
      • Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
      • Halmashauri ya Wilaya ya Meatu
  • Uwekezaji na Utalii
    • Fursa za Uwekezaji
    • Wanyamapori na Utalii

RC. KAFULILA APIGA MARUFUKU USAFIRISHAJI ABIRIA KWA MAGARI MADOGO YANAYO TAMBULIKA KAMA "MCHOMOKO"

Posted on: July 13th, 2022

RC SIMIYU APIGA MARUFUKU MICHOMOKO KUBEBA ABIRIA.

MKUU wa mkoa wa Simiyu,David Kafulila amepiga marufuku kwa magari madogo ya abiria yanafanya biashara ya kusafirisha watu maarufu kwa jina la  Michomoko  katika mkoa huo kuacha mara moja kwani wanakiuka masharti ya leseni zao.

Pia magari hayo yamekuwa ndiyo chanzo cha ajali katika mkoa huo na kusababisha kupoteza maisha ya watu na kuwapatia vilema vya maisha.

Rc Kafulila amefikia Uamuzi huo kufuatia ajali iliyotokea usiku wa kuamkia leo katika eneo ya Magereza nje kidogo ya mji wa Bariadi ambapo watu watano waliopoteza maisha na wengine kumi na moja kujeruhiwa.

Kafulila ameyasema hayo leo wakati akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukutana na kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa huo ambapo alisema vyombo hivyo vya usafiri pamoja na wamiliki wake wamekuwa hawafuati maelekezo ya serikali ikiwemo mamlaka ya udhibiti usafirishaji wa ardini (LATRA).

 Amesema pamoja na hatua zingine za kiutawala zinazoendelea kutokana na ajali hizo yeye kama mkuu wa Mkoa aamua kufanya maamuzi ya kimfumo kwa maana ya kwamba hizo gari zinasajiliwa kwa ajili ya kufanya kazi na zinafanya kama daladala (tax).

Amesema inafahamika kwamba Ili gari zifanye kazi kama daladala, kuna utaratibu wake ikiwemo rangi na alama pamoja na namba ili kusudi likitokea tatizo lolote lile iwe rahisi kufahamika na kuziratibu.

"Wamiliki na waendeshaji wa michomoko kwa zaidi ya nusu mwaka wameshapewa maelekezo ya taratibu za kufuatia Ili kusudi waendelee na kazi hizo za usafirishaji lakini mpaka Sasa hakuna gari iliyotekele hayo maelekezo Ili isajiliwe" amesema Kafulila.

Amesema kuwa kutokana na ajali hizo zimekuwa zikighalimu maisha ya watu, kusababisha ulemavu na kutokana na ukubwa wa jambo lenyewe nimeelekeza kuanzia leo gari zote aina ya michomoko hazipaswi kuonekana barabarani zikifanya biashara ya usafirishaji wa abiria mpaka itapo amliwa vinginevyo.

Aidha ametoa wito kwa wamiliki wa magari ya abiria na wawekezaji katika sekta ya usafirishaji wake katika soko la Simiyu kwa huo ni usafiri salama zaidi na kunauhitaji mkubwa wa magari ya abria  Ili kuziba ukosefu wa usafiri.

Matangazo

  • Wanafunzi wa Mkoa wa Simiyu waliochaguliwa Kidato cha Kwanza mwaka 2021 Shule za Serikali za Bweni na Kutwa December 18, 2020
  • Karibu Mwenge wa Uhuru Mkoani Simiyu July 04, 2022
  • " Tuna zoezi la Senza Mbele yetuni tarehe 23 Agosti 2022 Binafsi nipo tayari kuhesabiwa, nawe ukihesabiwa, wore tutakuwa tumehesaniwa na mipango endelevu itapangwa Kwa ajili yeti. Sensa Kwa maendeleo jiandae kuhesabiwa" Mhe. David Kafulila July 08, 2022
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Kwanza Mwaka 2020 - Chaguo la Pili (Second Selection) January 03, 2020
  • Fungua

Habari Mpya

  • DKT. YAHAYA ESMAIL NAWANDA MKUU WA MKOA MPYA SIMIYU

    July 28, 2022
  • RC. KAFULILA APIGA MARUFUKU USAFIRISHAJI ABIRIA KWA MAGARI MADOGO YANAYO TAMBULIKA KAMA "MCHOMOKO"

    July 13, 2022
  • WANAOWAKOPA WAKULIMA WA PAMBA KUKIONA-RC KAFULILA.

    July 09, 2022
  • Mwenge wa Uhuru Umewasili Mkoani Simiyu

    July 06, 2022
  • Fungua

Video

Upimaji wa maeneo ya wakulima na wafugaji kupitia Teknolojia ya Ndege Nyuki (Drones)
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Mwongozo wa Uwekezaji wa Mkoa(Fursa za Uwekezaji)
  • Historia ya Mkoa
  • Takwimu za haraka
  • Picha za Matukio Mbalimbali
  • Vivutio vya Utalii

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Ikulu
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Serikali
  • Watumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Bariadi - Somanda

    Anuani ya Posta: S. L. P. 4, BARIADI.

    Simu ya Mezani: 028-2700011/2700054

    Simu ya Mkononi: 028-2700011/2700054

    Barua Pepe: ras@simiyu.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo
    • Ramani

Hati Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.Haki Zote Zimehifadhiwa