Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu, Bw. Jumanne Sagini amewaagiza Maafisa Lishe na waganga wakuu wa wilaya mkoani hapa kufikia mwisho wa mwezi huu wa Aprili 2019, wawasilishe mpango kazi wa lishe unaoainisha lishe inayoweza kuandaliwa kwa kutumia vyakula vinavyopatikana katika mazingira ya mkoa huu, ili waweze kutoa elimu ya lishe bora kwa wananchi na kukabiliana na utapiamlo.
Sagini ameyasema hayo katika katika kikao cha Kamati ya Lishe Mkoa na Kamati tendaji ya Mkoa ya uendeshaji wa mradi wa lishe wa Right Start Initiative, kilichofanyika Aprili 25, 2019 Mjini Bariadi.
Bariadi - Somanda
Anuani ya Posta: S. L. P. 4, BARIADI.
Simu ya Mezani: 028-2700011/2700054
Simu ya Mkononi: 028-2700011/2700054
Barua Pepe: ras@simiyu.go.tz
Hati Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.Haki Zote Zimehifadhiwa