Na. harunataratibu82@gmail.com
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. David Kafulila Leo amepokea Mwenge wa Uhuru Mkoani Kwake.
Mwenge huo wa Uhuru Ukiwa Mkoani Simiyu utatembea katika wilaya tano ambazo no Busega, Bariadi, Itilima, Meatu na Maswa na Halmashauri ya Mji Bariadi.
Aidha Mwenge wa Uhuru Mkoani Simiyu utatembea Kilometa 875.1 Kwa kueka mawe ya Msingi 16, kufungua12, kuzindua mawili na kuonwa nane.
Jumla ya miradi 38 yenye thamani ya zaidi ya Tshs Bilioni 12.71 itapitiwa na Mwenge wa Uhuru 2022 na miradi hiyo ipo katika sekta ya Elimu, Afya, Maji, Barabara, Utawala, Maendeleo ya jamii, Mazingira na Sekta binafsi.
Mwenge wa Uhuru 2022 unaenda na kauli mbiu ya "Sensa Msingi wa Mipango ya Maendeleo, Shiriki kuhesabiwa tuyafikie Maendeleo ya Taifa"
Bariadi - Somanda
Anuani ya Posta: S. L. P. 4, BARIADI.
Simu ya Mezani: 028-2700011/2700054
Simu ya Mkononi: 028-2700011/2700054
Barua Pepe: ras@simiyu.go.tz
Hati Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.Haki Zote Zimehifadhiwa