Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema wafanyabiashara watakaopangishwa katika jengo la Stendi ya Kisasa ya Mji wa Bariadi inayojengwa sasa pale itakapokamilika, wahakikishe wanalipa kodi na mapato hayo yatumike katika shughuli za maendeleo ya wananchi na kuitunza stendi hiyo.
Mhe. Makamu wa Rais ametoa agizo hilo wakati wa uwekaji wa jiwe la Msingi la stendi hiyo Machi 07, 2020 Mjini Bariadi.
Bariadi - Somanda
Anuani ya Posta: S. L. P. 4, BARIADI.
Simu ya Mezani: 028-2700011/2700054
Simu ya Mkononi: 028-2700011/2700054
Barua Pepe: ras@simiyu.go.tz
Hati Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.Haki Zote Zimehifadhiwa