Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa rai kwa wananchi wa Kijiji cha Sapiwi wilayani Bariadi kuwa walinzi wa Tawi jipya la Kanda ya Ziwa la Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) linalojengwa katika eneo hilo ili watu wengie zaidi waweze kunufaika na uwepo wa chuo hicho.
Mhe. Makamu wa Rais ametoa rai hiyo Machi 06, 2020 wakati alipozungumza na wananchi wa Kata ya Sapiwi Machi 06, 2020 mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Tawi jipya la Chuo hicho.
Bariadi - Somanda
Anuani ya Posta: S. L. P. 4, BARIADI.
Simu ya Mezani: 028-2700011/2700054
Simu ya Mkononi: 028-2700011/2700054
Barua Pepe: ras@simiyu.go.tz
Hati Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.Haki Zote Zimehifadhiwa