Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Bw. Jumanne Sagini amewataka Maafisa Lishe kutoa elimu kwa jamii juu ya matumizi sahihi ya vyakula vinavyopatikana katika mazingira yao ili kukabiliana na utapiamlo na udumavu kwa watoto chini ya miaka mitano.
Bariadi - Somanda
Anuani ya Posta: S. L. P. 4, BARIADI.
Simu ya Mezani: 028-2700011/2700054
Simu ya Mkononi: 028-2700011/2700054
Barua Pepe: ras@simiyu.go.tz
Hati Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.Haki Zote Zimehifadhiwa