• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo |
    • Barua pepe |
Simiyu Region

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Simiyu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dhamira na Dira
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Health Service and SocialWelfare
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Seksheni ya Elimu
      • Huduma za Maji
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uhasibu na Fedha
      • TEHAMA
      • Ununuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Strong
    • Vifungu vya Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Hotuba
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Habari
    • Video
    • Albamu ya Picha
    • Matukio yajayo
  • Miradi
    • Miradi iliyotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
  • Wilaya na Halmashauri
    • Wilaya
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bariadi
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Busega
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Itilima
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Maswa
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Meatu
    • Halmashauri
      • Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi
      • Halmashauri ya Mji wa Bariadi
      • Halmashauri ya Wilaya ya Busega
      • Halmashauri ya Wilaya ya Itilima
      • Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
      • Halmashauri ya Wilaya ya Meatu
  • Uwekezaji na Utalii
    • Fursa za Uwekezaji
    • Wanyamapori na Utalii

Kilimo Cha Pamba Kuvunja rekodi 2022, Shukrani kwa Kuitangaza Pamba- RC Kafulila

Posted on: March 1st, 2022

Mhe.Kafulila ameyasema hayo na kutoa Shukrani hizo hivi karibuni wakati akiongea na Waandishi wa Habari."Hamasa yeyote kuhusu zao la Pamba Kwa wasukuma huwafanya waongeze uzalishaji".Amesema Kafulila.

Mkuu wa Mkoa huyo,aliwajuza wahariri hao kuwa, Katika Kilimo cha Pamba tupo Katika hatua za upuliziaji wa Dawa pamoja na palizi.Mwaka huu tunategemea kuvunja rekodi, mwaka jana wakati tunaanza Kilimo cha Pamba,bei ya Pamba katika soko la Dunia ilianzia $ 0.78 na kufikia $ 0.96. Mwaka huu mategemeo yetu bei hiyo katika soko la dunia itaanzia $ 1.00- $1.50 hivyo bei Pamba Katika soko la Dunia itazidi ya mwaka Jana, tunategemea bei iende zaidi mara 3.Vilevile tunategemea uzalishaji wa Pamba utaongezeka kuanzia tani 81,000 , mwaka jana na kufikia tani 250,000 mwaka huu na hivyo kuigiza takribani Tsh. 300 bln.

"Haya mafanikio yote kwa sehemu kubwa ni sababu ya mchango wenu.Kwani kwa kuwahabarisha wananchi Kuhusu umuhimu wa zao la Pamba na kwa kutumia kalamu zenu wananchi wamehamasika kulima Pamba zaidi ya ilivyokuwa awali.Niwashukuru sana kwa ushirikiano wenu".Tunategemea Mavuno ya Pamba yataanza mwezi wa nne na kuendelea.Njia nzuri zaidi ya mauzo ya Pamba ni kwa njia ya Benki.Mwaka huu tumelima hekari 1,364,000 za Pamba.Mategemeo yetu ni kuwa mara baada kuvuna Pamba tutaendelea na Kilimo cha dengu.Kusudi ni kumsaidia Mkulima kutoka shamba lilelile apate kipato zaidi ya mara mbili.

Pamoja na Mkuu wa Mkoa kusisitiza Kilimo cha Pamba,Waandishi hao walitaka kujua hali ya elimu Mkoani Simiyu, ambapo Mhe.Kafulila aliwaeleza kuwa "Tumefanya vizuri sana kielemu, matokea ya 2021, kidato cha nne tumekuwa wa tatu kitaifa.Katika shule za Serikali tunafanya vizuri sana,kwani tumeongoza kitaifa Katika Mtihani wa Darasa la Saba Katika shule za Msingi za Serikali.Kati ya wasichana kumi bora Kitaifa wasichana watano wametoka Mkoani Simiyu huku Msichana wa kwanza akitokea Inonelwa Shule ya Msingi iliyopo Wilayani Meatu.

Aidha waandishi hao walitaka kujua mwitikio wa wanafunzi kuingia darasani ukoje baada ya ujenzi wa Madarasa ya UVIKO-19.Mhe.Kafulila aliwaeleza hali ya uingiaji madarasani katikaElimu ya awali ni 110%,Darasa la Kwaza ni 97% na Kidato cha kwanza ni 93%.Kukiwa na baadhi ya maeneo yenye changamoto.

Aidha Mhe.Kafulila, aliwajuza waandishi hao Kuhusu Maendeleo mazuri ambayo Serikali imepanga kufanya ili kufufua viwanda viwili vya Pamba ambavyo vitaanza kufanya Kazi Katika msimu huu wa Pamba.

“Tumeletewa chuo cha VETA kutokana na fedha za UVIKO-19. Ukiangalaia Tanzania inafanya vizuri zaidi kuliko nchi zingine za EAC, ambazo zote zimepokea pesa za UVIKO-19”. Ameeleza Kafulila.

Waandishi hao walimshauri Mhe.Kafulila kufungua kiwanda cha nyama na mazao yake kwani Mkoa Wa Simiyu ni miongoni mwa mikoa 3 nchini inayoongoza kwa ufugaji wa ng'ombe nchini.Mwisho.

Matangazo

  • Wanafunzi wa Mkoa wa Simiyu waliochaguliwa Kidato cha Kwanza mwaka 2021 Shule za Serikali za Bweni na Kutwa December 18, 2020
  • Karibu Mwenge wa Uhuru Mkoani Simiyu July 04, 2022
  • " Tuna zoezi la Senza Mbele yetuni tarehe 23 Agosti 2022 Binafsi nipo tayari kuhesabiwa, nawe ukihesabiwa, wore tutakuwa tumehesaniwa na mipango endelevu itapangwa Kwa ajili yeti. Sensa Kwa maendeleo jiandae kuhesabiwa" Mhe. David Kafulila July 08, 2022
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Kwanza Mwaka 2020 - Chaguo la Pili (Second Selection) January 03, 2020
  • Fungua

Habari Mpya

  • DKT. YAHAYA ESMAIL NAWANDA MKUU WA MKOA MPYA SIMIYU

    July 28, 2022
  • RC. KAFULILA APIGA MARUFUKU USAFIRISHAJI ABIRIA KWA MAGARI MADOGO YANAYO TAMBULIKA KAMA "MCHOMOKO"

    July 13, 2022
  • WANAOWAKOPA WAKULIMA WA PAMBA KUKIONA-RC KAFULILA.

    July 09, 2022
  • Mwenge wa Uhuru Umewasili Mkoani Simiyu

    July 06, 2022
  • Fungua

Video

Upimaji wa maeneo ya wakulima na wafugaji kupitia Teknolojia ya Ndege Nyuki (Drones)
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Mwongozo wa Uwekezaji wa Mkoa(Fursa za Uwekezaji)
  • Historia ya Mkoa
  • Takwimu za haraka
  • Picha za Matukio Mbalimbali
  • Vivutio vya Utalii

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Ikulu
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Serikali
  • Watumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Bariadi - Somanda

    Anuani ya Posta: S. L. P. 4, BARIADI.

    Simu ya Mezani: 028-2700011/2700054

    Simu ya Mkononi: 028-2700011/2700054

    Barua Pepe: ras@simiyu.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo
    • Ramani

Hati Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.Haki Zote Zimehifadhiwa