Mwenge wa Uhuru unatarajia kuanza Mbio zake Mkoani Simiyu kuanzia Siku ya Jumanne tarehe 04/07/2017, ambapo utapokelewa Wilayani Meatu ukitokea Mkoani Singida.
Tarehe 05/07/2017 utakuwa Itilima, 06/07/2017 Halmashauri ya Mji Bariadi, 07/07/2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi, 08/07/2017 Busega, 09/07/2017 Maswa na tarehe 10/07/2017 asubuhi utakabidhiwa Mkoani Shinyanga ukitokea Wilayani Maswa.
Mwenge wa Uhuru ukiwa Mkoani Simiyu utaweka Mawe ya Msingi na kufungua Miradi Mbalimbali ya Maendeleo.
Bariadi - Somanda
Anuani ya Posta: S. L. P. 4, BARIADI.
Simu ya Mezani: 028-2700011/2700054
Simu ya Mkononi: 028-2700011/2700054
Barua Pepe: ras@simiyu.go.tz
Hati Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.Haki Zote Zimehifadhiwa