• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo |
    • Barua pepe |
OFISI YA MKUU WA MKOA WA SIMIYU
OFISI YA MKUU WA MKOA WA SIMIYU

.JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA .OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA OFISI YA MKUU WA MKOA WA SIMIYU

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dhamira na Dira
  • Idara na vitengo
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Health Service and SocialWelfare
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Seksheni ya Elimu
      • Huduma za Maji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Uhasibu na Fedha
      • Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano(TEHAMA)
      • Kitengo cha Ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
  • Sekta ya Afya
    • Hospitali ya Rufaa ya Mkoa
    • Huduma za Afya Mkoa
  • Sekta ya Elimu
  • Sekta ya Kilimo
    • Sekta ya Mifugo
    • Sekta ya Uvuvi
    • Sekta ya Maliasili na Mazingira
    • Sekta ya Ushirika
  • Sekta Utalii
  • Kituo cha Habari

KAMBI MAALUMU YA MATIBABU YA MADAKTARI BINGWA YA MAMA SAMIA KUTUA SIMIYU JUNI 12. RC SIMIYU AWATAKA WANANCHI KUTUMIA FURSA HIYO MUHIMU. AMSHUKURU MHE.RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN KWA KUJALI AFYA ZA WANANCHI.

Posted on: June 6th, 2023

Na:IO Simiyu

Kambi Maalumu ya Madaktari Bingwa kutoka Hospitali za Rufaa za  Sekou Toure Geita,Musoma,Shinyanga,Simiyu,Kagera na Hospitali ya Kanda Bugando wataweka kambi Mkoani Simiyu ili kutoa huduma katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe.Dkt Yahaya Nawanda ameeleza.

Akizungumza na Waandishi wa Habari katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt.Yahaya Nawanda amesema Kambi hiyo maalumu ya matibabu ya madaktari bingwa itaanza kutoa huduma hizo kuanzia Tarehe 12 hadi Tarehe 16 Juni 2023.

Amezitaja huduma zitakazotolewa  na Madaktari Bingwa hao kuwa ni pamoja na Uchunguzi wa magonjwa mbalimbali kama vile Magonjwa ya Wanawake na Uzazi,Magonjwa ya watoto,Upasuaji,Mifupa,Mfumo wa Mkojo,Mionzi,Magonjwa ya Akili,Magonjwa ya ndani kama vile Moyo,Kisukari,Figo,Macho,Presha,pamoja na magonjwa ya Pua,Masikio,na Koo.

Aidha Dkt.Nawanda amemshukuru Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuwajali watanzania kutokana na maboresho makubwa yanayofanyika katika Sekta ya Afya ambapo ametoa rai kwa wananchi kutumia fursa hiyo muhimu kwa kupata huduma hizo muhimu.

Amesema ni muhimu kwa Wananchi kutumia fursa hiyo kwa kuwa hujitokeza mara chache hivyo ni muhimu kujitokeza kwa ajili ya kufanya vipimo na kuzungumza na maktari bingwa hao kwa ajili ya

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 01, 2025
  • Fungua

Habari Mpya

  • MASHINDANO YA UMISETA NA UMITASHUMTA YAZINDULIWA KIMKOA MASWA. DC NGATUMBURA ASISITIZA NIDHAMU NA BIDII ILI KUPATA USHINDI KATIKA NGAZI YA TAIFA.

    May 30, 2025
  • SIMIYU RS WAHAMIA JENGO JIPYA LA UTAWALA NYAUMATA

    June 03, 2024
  • RC NAWANDA ARIDHISHWA NA UJENZI MRADI WA MAJI MWABUMA/MWASHATA MEATU.

    May 30, 2024
  • RC SIMIYU ARIDHISHWA NA MAENDELEO UJENZI WA MRADI WA USAMBAZAJI MAJI WA VIJIJI VYA SUNZULA, MWAMNEMA NA NGESHA WILAYANI ITILIMA,

    May 29, 2024
  • Fungua

Video

MIAKA MINNE YA RAIS DKT.SAMIA SULUHU HASSAN MKOANI SIMIYU
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Mwongozo wa Uwekezaji wa Mkoa(Fursa za Uwekezaji)
  • Historia ya Mkoa
  • TUME YA RAIS UKUSANYAJI MAONI MABORESHO YA KODI YATUA SIMIYU
  • Takwimu za haraka
  • Picha za Matukio Mbalimbali
  • Vivutio vya Utalii
  • SIMIYU- RS TV

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Ikulu
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Serikali
  • Watumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Bariadi - Somanda

    Anuani ya Posta: S. L. P. 4, BARIADI.

    Simu ya Mezani: 028-2700011/2700054

    Simu ya Mkononi: 028-2700011/2700054

    Barua Pepe: ras@simiyu.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Video

Hati Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.Haki Zote Zimehifadhiwa