Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhe. Mwita Waitara(wa nne kulia) akizungumza na baadhi ya viongozi wakati alipokuwa akitembelea vipando vya mazao vya Halmashauri mbalimbali Agosti 04, 2020 katika maonesho ya Nanenane Kitaifa mwaka 2020 viwanja vya Nyakabindi wilayani Bariadi Simiyu.
MWISHO.
Bariadi - Somanda
Anuani ya Posta: S. L. P. 4, BARIADI.
Simu ya Mezani: 028-2700011/2700054
Simu ya Mkononi: 028-2700011/2700054
Barua Pepe: ras@simiyu.go.tz
Hati Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.Haki Zote Zimehifadhiwa