• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo |
    • Barua pepe |
Simiyu Region

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Simiyu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dhamira na Dira
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Health Service and SocialWelfare
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Seksheni ya Elimu
      • Huduma za Maji
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uhasibu na Fedha
      • TEHAMA
      • Ununuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Strong
    • Vifungu vya Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Hotuba
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Habari
    • Video
    • Albamu ya Picha
    • Matukio yajayo
  • Miradi
    • Miradi iliyotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
  • Wilaya na Halmashauri
    • Wilaya
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bariadi
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Busega
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Itilima
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Maswa
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Meatu
    • Halmashauri
      • Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi
      • Halmashauri ya Mji wa Bariadi
      • Halmashauri ya Wilaya ya Busega
      • Halmashauri ya Wilaya ya Itilima
      • Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
      • Halmashauri ya Wilaya ya Meatu
  • Uwekezaji na Utalii
    • Fursa za Uwekezaji
    • Wanyamapori na Utalii

Bilioni 75 Kujenga Kituo Cha Kupozea Umeme Simiyu

Posted on: March 4th, 2021

Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Medard Kalemani ameweka jiwe la msingi kla ujenzi wa kituo cha kupozea umeme ambacho kitajengwa na wataalam wa ndani kwa jumla ya shilingi bilioni 75 fedha za ndani mpaka kukamilika huku akilitaka shirika la ugavi wa umeme nchini (TANESCO) kuanza ujenzi wa kituo hicho mara moja.

Kituo hicho kitajengwa eneo la Imalilo mjini Bariadi mkoani Simiyu ambacho kitazalisha Megawati 100 huku mahitaji ya mkoa huu yakiwa ni Megawati 12 na ujenzi utafanywa na TANESCO kupitia wataalamu wake wa ndani huku akiwataka kujenga kwa ufanisi wa hali ya juu.

Dkt Kalemani ameyasema hayo leo huku akiongeza kuwa mradi huo ni mkubwa na kilovolti 220 ambapo utazalisha umeme mkubwa utakaotosha kwa matumizi ya viwanda vikubwa, vya kati na vidogo na hatimaye kukidhi mahitaji ya mkoa wa Simiyu.

"ujenzi wa mradi huu ni miezi 12 lakini nataka ukamilike kwa muda na si lazima itimie miezi kumi na mbili hata miezi tisa sawa ,mradi huu utachochea shughuli za uchumi na umeme utasambaa vijijini na utatosheleza mahitaji ya mkoa...wananchi wanaozunguka mradi huo niwatake kuwa wasimamizi kwa kuulinda na kuutunza lakini TANESCO mtoe kipaumbele cha ajira za kawaida kwa wananchi wanaozunguka eneo hilo kwenye shughuli za ujenzi" alisema Dkt Kalemani.

Awali mkurugenzi mtendaji wa TANESCO dkt Tito Mwinuka amesema mradi huo utakapokamilika unatarajiwa kufungua fursa mbalimbali za maendeleo ya uchumi na uwekezaji wa viwanda mkoani hapa na tayari wameshafanya uthamini wa ekari 15.5 zenye thamani ya shilingi milioni arobaini na sita laki saba elfu thelathini na moja mia moja hamsini (46,731,150.00).

Akimwakilisha mkuu wa mkoa wa Simiyu, mkuu wa wilaya ya Bariadi Festo Kiswaga amesema kitendo cha umeme kufika maeneo mengi mkoani hapo kitakuwa kichocheo kikubwa cha kukuza uchumi na kitasaidia kuondoka changamoto ya kukatika mara kwa mara kwa umeme.

Martin Mata ni mkazi wa Imalilo amesema wamepokea ujio wa kituo hicho kwa mikono miwili na kuahidi kushirikiana na wananchi wenzie kukilinda.

MWISHO

Matangazo

  • Wanafunzi wa Mkoa wa Simiyu waliochaguliwa Kidato cha Kwanza mwaka 2021 Shule za Serikali za Bweni na Kutwa December 18, 2020
  • Karibu Mwenge wa Uhuru Mkoani Simiyu July 04, 2022
  • " Tuna zoezi la Senza Mbele yetuni tarehe 23 Agosti 2022 Binafsi nipo tayari kuhesabiwa, nawe ukihesabiwa, wore tutakuwa tumehesaniwa na mipango endelevu itapangwa Kwa ajili yeti. Sensa Kwa maendeleo jiandae kuhesabiwa" Mhe. David Kafulila July 08, 2022
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Kwanza Mwaka 2020 - Chaguo la Pili (Second Selection) January 03, 2020
  • Fungua

Habari Mpya

  • DKT. YAHAYA ESMAIL NAWANDA MKUU WA MKOA MPYA SIMIYU

    July 28, 2022
  • RC. KAFULILA APIGA MARUFUKU USAFIRISHAJI ABIRIA KWA MAGARI MADOGO YANAYO TAMBULIKA KAMA "MCHOMOKO"

    July 13, 2022
  • WANAOWAKOPA WAKULIMA WA PAMBA KUKIONA-RC KAFULILA.

    July 09, 2022
  • Mwenge wa Uhuru Umewasili Mkoani Simiyu

    July 06, 2022
  • Fungua

Video

Upimaji wa maeneo ya wakulima na wafugaji kupitia Teknolojia ya Ndege Nyuki (Drones)
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Mwongozo wa Uwekezaji wa Mkoa(Fursa za Uwekezaji)
  • Historia ya Mkoa
  • Takwimu za haraka
  • Picha za Matukio Mbalimbali
  • Vivutio vya Utalii

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Ikulu
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Serikali
  • Watumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Bariadi - Somanda

    Anuani ya Posta: S. L. P. 4, BARIADI.

    Simu ya Mezani: 028-2700011/2700054

    Simu ya Mkononi: 028-2700011/2700054

    Barua Pepe: ras@simiyu.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo
    • Ramani

Hati Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.Haki Zote Zimehifadhiwa