Naibu Waziriwa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe amezindua Mkakati wa Mapinduzi ya Kilimo chaPamba wa miaka mitano (2019-2024) Mkoa wa Simiyu na kuwahimiza wakulima wotekufungua akaunti za benki kwa kuwa katika msimu ujao Wakulima watalipwa fedhazao kupitia mfumo wa benki ili kudhibiti matumizi mabaya ya fedha za wakulimayanayofanywa na baadhi ya viongozi wa Vyama vya Msingi vya Ushirika(AMCOS).
Aidha, Mhe. Bashe amesema Serikali imedhamiriakuwekeza katika kilimo na kujenga ushirika imara ikiwa ni pamoja na kufufuabaadhi ya Viwanda vya kuchambua pamba(ginneries) vya wakulima kikiwepo kiwandacha Luguru wilayani Itilima na viwanda vingine wiwili kutoka wilayani ya Maswa.
Bariadi - Somanda
Anuani ya Posta: S. L. P. 4, BARIADI.
Simu ya Mezani: 028-2700011/2700054
Simu ya Mkononi: 028-2700011/2700054
Barua Pepe: ras@simiyu.go.tz
Hati Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.Haki Zote Zimehifadhiwa