Aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Bw. Jumanne Sagini (aliyevaa suti ya bluu nyeusi) ametembelea mabanda katika Viwanja vya Maonesho ya Nanenane Nyakabindi Bariadi, yanayofanyika Kitaifa mwaka 2020 katika Kanda ya Ziwa Mashariki inayoundwa na mikoa ya Simiyu, Mara na Shinyanga.
Sagini ametoa wito kwa wananchi kutembelea maonesho hayo ambayo amekiri kuwa yamefana kwa kiasi kikubwa ili waweze kujifunza masuala mbalimbali yahusuyo uzalishaji kwenye tija katika kilimo, mifugo na uvuvi.
KUPATA PICHA ZAIDI FUNGUA KIUNGANISHI HIKI:http://simiyuregion.blogspot.com/2020/08/aliyekuwa-katibu-tawala-wa-mkoa-bw.html
Bariadi - Somanda
Anuani ya Posta: S. L. P. 4, BARIADI.
Simu ya Mezani: 028-2700011/2700054
Simu ya Mkononi: 028-2700011/2700054
Barua Pepe: ras@simiyu.go.tz
Hati Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.Haki Zote Zimehifadhiwa