Mashindano ya Mpira wa Kikapu ya Mtaka Taifa Cup 2018 yaliyokuwa yakifanyika katika Uwanja wa Halamshauri ya Mji wa Bariadi kuanziaa Desemba 17, 2018 yamehitimishwa leo Desemba 23, 2018 huku ikielezwa kuwa mashindano hayo kwa mwaka 2019 yanatarajiwa kufanyika mkoani Simiyu.
Hayo yameelezwa na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu, Bw. Phares Magesa wakati akihitimisha mashindano hayo katika Uwanja wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi.
Bariadi - Somanda
Anuani ya Posta: S. L. P. 4, BARIADI.
Simu ya Mezani: 028-2700011/2700054
Simu ya Mkononi: 028-2700011/2700054
Barua Pepe: ras@simiyu.go.tz
Hati Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.Haki Zote Zimehifadhiwa