Posted on: March 1st, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka ametoa wito kwa wanawake, kuwa mstari wa mbele kuhimiza jamii juu ya umuhimu wa kuwasomesha watoto, ili kuondokana mila potofu zilizopitwa na wakati, ukiwemo...
Posted on: February 28th, 2019
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu nayeshughulikia watu wenye ulemavu, Mhe. Stella Ikupa ametoa wito kwa wadau kuendelea kutoa msaada wa vifaa saidizi kwa watu wenye ulemavu kwa kuwa hili ni hi...
Posted on: February 27th, 2019
Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Mhe. Festo Kiswaga amesema Serikali wilayani humo itaendelea kuhakikisha watu wenye ulemavu wanashirikishwa katika fursa za kiuchumi ili waweze kujikwamua kiuchumi na kuondo...