Posted on: August 3rd, 2019
Serikali kupitia waziri wa kilimo Japhet Hasunga imezindua Bima ya Kilimo inayokinga mazao ya mkulima yanapokuwa shambani dhidi ya ukame, magonjwa ,wadudu waharibifu , mvua zilizozidi, moto, uharibifu...
Posted on: August 2nd, 2019
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi. Stella Manyanya ametoa wito kwa wananchi kushiriki katika Maonesho ya Nanenane kwa lengo la kujifunza ili waongeze tija katika uzalishaji, huku akibainis...
Posted on: August 1st, 2019
Makamu wa Rais, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Agosti Mosi, 2019 amezindua mkakati wa udhibiti wa upotevu wa mazao wenye lengo la kumsaidia mkulima namna ya utunzaji Bora wa mazao baada ya mavuno.
&n...