Posted on: October 14th, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka amesema serikali ya awamu ya tano chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe inamuenzi Hayati Baba wa Taifa, Mwl Julius Kambarag...
Posted on: October 7th, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthnony Mtaka ametoa wito kwa wananchi wote wenye sifa mkoani hapa kwenda kujiandikisha katika daftari la orodha ya wapiga kura, kugombea nafasi mbalimbali na hatimaye kw...
Posted on: October 6th, 2019
Mkurugenzi wa shirika la reli nchini(TRC), Bw.Masanja Kadogosa amesema kuwa shirika hilo limejipanga kuhakikisha linarahisiha huduma za usafirishaji wa marobota ya pamba kwa njia ya reli lengo likiwa ...