Posted on: August 5th, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka amewataka Wakuu wa Shule mkoani humo kuongeza ubunifu ili kuongeza ufaulu wa wanafunzi katika shule zao.
Mtaka ameyasema hayo wakati alipokuwa akifunga ma...
Posted on: July 31st, 2017
Mkoa wa Simiyu umejipanga kurasimisha kazi za sanaa, utamaduni na baadhi ya michezo ili kutengeneza ajira kwa wananchi ambazo zitasaidia kukuza uchumi wa wananchi na Taifa kwa ujumla.
Hayo ya...
Posted on: July 28th, 2017
Serikali Mkoani Simiyu imejipanga kuweka mkakati maalum utakaowasaidia wafugaji mkoani humo kutoka kwenye ufugaji wa kuhama hama na kufanya ufugaji wa kisasa wenye tija.
Hayo yamebainishwa na...