• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo |
    • Barua pepe |
Simiyu Region

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Simiyu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dhamira na Dira
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Health Service and SocialWelfare
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Seksheni ya Elimu
      • Huduma za Maji
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uhasibu na Fedha
      • TEHAMA
      • Ununuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Strong
    • Vifungu vya Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Hotuba
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Habari
    • Video
    • Albamu ya Picha
    • Matukio yajayo
  • Miradi
    • Miradi iliyotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
  • Wilaya na Halmashauri
    • Wilaya
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bariadi
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Busega
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Itilima
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Maswa
      • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Meatu
    • Halmashauri
      • Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi
      • Halmashauri ya Mji wa Bariadi
      • Halmashauri ya Wilaya ya Busega
      • Halmashauri ya Wilaya ya Itilima
      • Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
      • Halmashauri ya Wilaya ya Meatu
  • Uwekezaji na Utalii
    • Fursa za Uwekezaji
    • Wanyamapori na Utalii

Simiyu Y atajwa Kinara Utekelezaji Ilani ya CCM, Mshikamano Viongozi wa Serikali na Chama

Posted on: August 8th, 2018

Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally amesema Mkoa wa Simiyu ni mkoa wa kwanza  katika utekelezaji wa Ilani ya CCM kwa mshikamano kati ya Serikali na Chama Tawala.

Dkt. Bashiru amesema hayo wakati akitoa salamu za Chama Cha Mapinduzi  katika  Kilele cha Maonesho ya Nane nane Kitaifa mwaka 2018 Mkoani Simiyu,  Uwanja wa Nyakabindi, Halmashauri ya Mji  wa Bariadi.

“ Simiyu ni Mkoa wa Kwanza kwa Tanzania Bara katika Utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi, matokeo tunayoyaona, haya yanayotufurahisha chanzo chake ni mshikamano baina ya Viongozi wa Chama na Serikali katika Mkoa” alisema Dkt. Bashiru.

Wakati huo Dkt. Bashiru ameitaja mikoa mitatu ikiongozwa na Simiyu ambayo inafanya vizuri katika Utekelezaji wa Ilani ya CCM kuwa ni pamoja na Singida, Dodoma na Pwani, huku akieleza kuwa katika mikoa hiyo viongozi na watendaji wa Chama wanafanya kazi kwa kushirikiana katika shida na raha.

Aidha, ameitaja mikoa minne ambayo haifanyi vizuri kuwa ni Mara, Arusha, Mbeya na Dar es Salaam na akawataka viongozi wa Chama na Serikali katika mikoa hiyo  kujirekebisha ili waweze kufanya kazi kwa kushirikiana.

Amesema Chama kimeumizwa sana na makundi na kinapata tabu pale ambapo viongozi wa Chama na Serikali hawana mtazamo mmoja, hivyo amewataka viongozi wa mikoa ya Mara, Mbeya, Arusha na Dar es Salaam kushikamana na kuwa kitu kimoja ili waweze kuwatumikia wananchi ipasavyo.

Kwa upande wake Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka amesema uhusiano kati ya Chama na Serikali  kwa mkoa huo kuanzia ngazi ya Kijiji na Tawi hadi mkoa uko vizuri na akimhakikishia Katibu Mkuu wa CCM kuwa mshikamano baina yao utaendelea kuimarishwa.

Matangazo

  • Matokeo ya Kidato cha NNe mwaka 2018 January 24, 2019
  • Watumishi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa waliokubaliwa kuhama kuanzia tarehe 23/03/2018 hadi tarehe 30/06/2018 July 09, 2018
  • Tangazo la Nafasi za kazi, Chama Kikuu cha Ushirika Simiyu (SIMCU) October 17, 2018
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga Kidato cha kwanza mwaka 2019 Simiyu December 18, 2018
  • Fungua

Habari Mpya

  • Wananchi wapiga kura za siri kubaini Watuhumiwa wa Mauaji ya watoto Busega

    February 14, 2019
  • Wanafunzi walioongoza Mtihani wa Kidato cha Nne 2018 Simiyu Wakiri Kambi za Kitaaluma Zimewasaidia

    February 14, 2019
  • Waziri wa Afya Aitaka TBA Kurejesha Fedha za Ujenzi wa Mradi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu

    January 22, 2019
  • Viongozi wa Riadha Kanda ya Ziwa Watakiwa Kuziandaa Timu Kikamilifu.

    January 20, 2019
  • Fungua

Video

Upimaji wa maeneo ya wakulima na wafugaji kupitia Teknolojia ya Ndege Nyuki (Drones)
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Mwongozo wa Uwekezaji wa Mkoa(Fursa za Uwekezaji)
  • Historia ya Mkoa
  • Takwimu za haraka
  • Picha za Matukio Mbalimbali
  • Vivutio vya Utalii

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Ikulu
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Serikali
  • Watumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Bariadi - Somanda

    Anuani ya Posta: S. L. P. 4, BARIADI.

    Simu ya Mezani: 028-2700011/2700054

    Simu ya Mkononi: 028-2700011/2700054

    Barua Pepe: ras@simiyu.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

Counter

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo
    • Ramani

Hati Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.Haki Zote Zimehifadhiwa