• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo |
    • Barua pepe |
Simiyu Region

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Simiyu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dhamira na Dira
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Health Service and SocialWelfare
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
      • Seksheni ya Elimu
      • Huduma za Maji
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uhasibu na Fedha
      • TEHAMA
      • Ununuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
  • Wilaya
    • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bariadi
    • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Busega
    • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Itilima
    • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Maswa
    • Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Meatu
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi
    • Halmashauri ya Mji wa Bariadi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Busega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Itilima
    • Halmashauri ya Wilaya ya Maswa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Meatu
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Strong
    • Vifungu vya Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Hotuba
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Habari
    • Video
    • Albamu ya Picha
    • Matukio yajayo
  • Miradi
    • Miradi iliyotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
  • Uwekezaji na Utalii
    • Fursa za Uwekezaji
    • Wanyamapori na Utalii

Uchumi na Uzalishaji

LENGO

Seksheni ya Uchumi na Uzalishaji ina lengo la kutoa uwezeshaji wa kitaalamu kuhusu sekta za uchumi na uzalishaji kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa katika Mkoa. Seksheni hii inaongozwa na Katibu Tawala Msaidizi ambaye anawajibika kwa Katibu Tawala wa Mkoa


Majukumu ya Seksheni ya Uchumi na Uzalishaji

•Kuratibu utekelezaji wa sera za Kilimo, Mifugo, Ushirika, Misitu, Uhifadhi, Uvuvi, Viwanda, Biashara na Masoko katika Mkoa

•Kuzijengea uwezo Mamlaka za Serikali za Mitaa katika Mkoa katika kutoa huduma kwenye nyanja za Kilimo, Mifugo, Ushirika, Misitu, Uhifadhi, Uvuvi, Viwanda, Biashara na Masoko

•Kuzisaidia na kuzishauri Mamlaka za Serikali za Mitaa juu ya teknolojia zinazofaa na za gharama nafuu katika sekta za uchumi na uzalishaji

•Kusajili vyama/vikundi vya ushirika katika Mkoa

•Kuzishauri Mamlaka za Serikali za Mitaa katika juu ya uanzishaji/uimarishaji na ukaguzi wa vyama vya Ushirika na Akiba na Mikopo

•Kusaidia na kuzishauri Mamlaka za Serikali za Mitaa juu ya kuzisimamia kampuni ndogo na za kati

•Kuzisaidia na kuzishauri Mamlaka za Serikali za Mitaa katika kutambua maeneo nyeti ya uwekezaji

•Kuzisaidia na kuzishauri Mamlaka za Serikali za Mitaa katika kuendeleza na kukuza sekta ya uvuvi na kuzalisha kisasa

•Kusimamia, kuratibu na kuwezesha masuala yanayohusiana na misitu katika Mkoa

•Kuzishauri Mamlaka za Serikali za Mitaa katika usimamizi wa sheria za kulinda wanyamapori

•Kuzishauri Mamlaka za Serikali za Mitaa katika kuendeleza maeneo ya wanyamapori

•Kuzishauri Mamlaka za Serikali za Mitaa katika kusimamia utalii, idadi ya wanyamapori na mienendo yao/safari zao

•Kuziwezesha Mamlaka za Serikali za Mitaa katika kutekeleza sheria ya Mazingira No. 2 ya mwaka 2004

•Kutoa ujuzi wa kitaalamu kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa kwenye masuala yanayohusiana na maeneo/miradi ya umwagiliaji

•Kuratibu utekelezaji wa uboreshaji wa taratibu za biashara katika Mkoa

Seksheni inaongozwa na       Katibu Tawala Msaidizi 

                                               Jina: Bwana. Joseph Nandrie

Matangazo

  • Uhamisho wa Watumishi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Januari-Machi, 2018 March 26, 2018
  • Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Pili mwaka 2017 January 10, 2018
  • Orodha ya Walimu waliopata Ajira Shule za Msingi kwa Awamu ya Kwanza Mwaka 2017/2018 December 29, 2017
  • The list of Form One Selected Students 2018 December 12, 2017
  • Fungua

Habari Mpya

  • RC Mtaka:Walimu wa Kike Wasaidieni Wanafunzi wa Kike Kupata Elimu ya Kujitambua

    April 19, 2018
  • Wafanyabiashara Mkoani Simiyu Waunga Mkono Serikali Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mkoa

    April 18, 2018
  • Wanafunzi 7361 wa Kidato cha Nne Mkoani Simiyu Kuweka Kambi ya Kitaaluma mwezi Juni

    April 13, 2018
  • Mkurugenzi wa TANTRADE atoa Wito kwa Makampuni, Wafanyabiashara, Wakulima Kujiandaa NaneNane mwaka 2018 Kanda ya Ziwa Mashariki

    April 12, 2018
  • Fungua

Video

FURSA ZA UWEKEZAJI MKOANI SIMIYU
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Mwongozo wa Uwekezaji wa Mkoa(Fursa za Uwekezaji)
  • Historia ya Mkoa

Kurasa Mashuhuri

  • Watumishi Portal
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Serikali
  • ESRF

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Bariadi - Somanda

    Anuani ya Posta: S. L. P. 4, BARIADI.

    Simu ya Mezani: 028-2700011/2700054

    Simu ya Mkononi: 028-2700011/2700054

    Barua Pepe: ras@simiyu.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

Counter

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo
    • Ramani

Hati Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.Haki Zote Zimehifadhiwa